Updates kutoka PPF-Pension Fund

Updates kutoka PPF-Pension Fund

mapie

Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
95
Reaction score
43
Wana JF kuna mtu yeyote ambaye alifanya aptitude test pale Mlimani ya PPF position ya Operational trainee, mwenye updates zozote? Tunaomba atujuze tafadhal. Asanten
 
Wana JF kuna mtu yeyote ambaye alifanya aptitude test pale Mlimani ya PPF position ya Operational trainee, mwenye updates zozote? Tunaomba atujuze tafadhal. Asanten
Umeskia wametangaza nafasi nyingine mie sijaona ila kuna mtu kaniambia wametangaza Benefit Trainee Online
 
Wadau naombeni mnijuze ile Aptitude Test pale UDSM ya Operation Trainee ya PPF ni vipi maana naona kimya au ndio ukiona kimya watu wapo kazini wanapiga mzigo!!!mwenye kujua atueleze ni vipi vipi....
 
Back
Top Bottom