Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
Moja ya udhaifu mkubwa wa CHADEMA katika uchaguzi mkuu uliopita ni kuwa na mtandao mdogo na ubahili wa viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Dr Slaa alifanya ubahili hata wa kuchapisha posters zake mwenyewe na vitu vidogo kama skafu kwa ajili ya kampeni.[TABLE="class: arc90_altrows-Blue"]
[TR]
[TD="bgcolor: #b3d5e6, colspan: 4"]
DAR ES SALAAM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #b3d5e6, colspan: 4"]MANISPAA YA ILALA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #b3d5e6, colspan: 4"]SEGEREA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: #b3d5e6"]Candidate[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #b3d5e6"]Political Party[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #b3d5e6"]Number of Votes[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #b3d5e6"]Percentage Votes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]KIKWETE JAKAYA MRISHO [/TD]
[TD="width: 20%"]CCM[/TD]
[TD="width: 20%"]50,560[/TD]
[TD="width: 15%"]48.09[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]SLAA WILLIBROD PETER [/TD]
[TD="width: 20%"]CHADEMA[/TD]
[TD="width: 20%"]37,694[/TD]
[TD="width: 15%"]35.85[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]LIPUMBA IBRAHIM HARUNA [/TD]
[TD="width: 20%"]CUF[/TD]
[TD="width: 20%"]14,752[/TD]
[TD="width: 15%"]14.03[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]KUGA PETER MZIRAY [/TD]
[TD="width: 20%"]APPT - MAENDELEO[/TD]
[TD="width: 20%"]209[/TD]
[TD="width: 15%"]0.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]RUNGWE HASHIM SPUNDA [/TD]
[TD="width: 20%"]NCCR-MAGEUZI[/TD]
[TD="width: 20%"]116[/TD]
[TD="width: 15%"]0.11[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT [/TD]
[TD="width: 20%"]TLP[/TD]
[TD="width: 20%"]76[/TD]
[TD="width: 15%"]0.07[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA [/TD]
[TD="width: 20%"]UPDP[/TD]
[TD="width: 20%"]17[/TD]
[TD="width: 15%"]0.02[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"][/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 5%"][/TD]
[TD="width: 15%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 20%"]1,720[/TD]
[TD="width: 15%"]1.64 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 20%"]105,144[/TD]
[TD="width: 15%"]100 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Ukilinganisha haya matokeo ya kura za Urais na yale ya Ubunge kwa Jimbo hili la Segerea utagundua kuwa kuna tatizo katika IDADI ya wapiga kura za Urais na Ubunge. Hapa ndipo penye matatizo makubwa. Kwamba jimbo hilo hilo moja kura za Ubunge zinakuwa nyingi au ndogo kuliko za Urais kwa chama kilekile,kwa mfano kwanini CCM hao hao wampigie Rais wao watu 50,560 lakini kwenye Mbunge wampigie kura 43,554???Haiwezekani mtu amkatae Rais wa Chama kilekile lakini ampe kura Mbunge wa chama kile kile au kinyume chake!!!Haingii akilini. Kama wewe umechagua Rais wa CCM kwanini hutaki mbunge wake? Rais atafanyaje kazi bila Wabunge?Au kwanini mtu amchague Rais kutoka CHADEMA halafu amkatae Mbunge wa CHADEMA????
Hapa NEC wanadanganya na hii inadhihirisha UCHAKACHUAJI wa KURA!!!
Biashara yake imeisha huyo . Nafikiri anajuta maisha yake yote , aliwaamini wakina 6 na mwakyembe sasa wamemwachia manyoya .kweli nimeamini LIFE IS NOT A LUMP OF SUGAR.
saburi au masaburi?nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi. Kesi ya Lema inapata coverage nzuri hapa JF kunakuwa na updates kila baada ya nusu saa kutoka mahakamani Arusha. Lakini hii ya kamanda mpendazoe vipi! wana CDM mlioko Dar kwanini hamtuhabarishi. tunasikia kuwa makongoro kashikwa saburi kwenye kesi hii. Tunaitambua kazi nzuri inayofanywa na Peter Kibatala (wakili wa Mpendazoe) tujulisheni kama anavyofanya nanyaro Arusha
Jimbo hilo hilo moja, waliopiga kura ya Rais ni 105,144 na waliowapigia wabunge ni 104,436. Tofauti ya kura 708! Inamaana kuna watu 708 waliokwenda vituoni na kuwapigia kura wagombea Urais pekee na hawakumpigia kura Mgombea Ubunge hata mmoja! This is NEC bana![TABLE="class: arc90_altrows-Blue"]
[TR]
[TD="bgcolor: #b3d5e6, colspan: 4"]
DAR ES SALAAM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #b3d5e6, colspan: 4"]MANISPAA YA ILALA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #b3d5e6, colspan: 4"]SEGEREA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: #b3d5e6"]Candidate[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #b3d5e6"]Political Party[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #b3d5e6"]Number of Votes[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #b3d5e6"]Percentage Votes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]KIKWETE JAKAYA MRISHO [/TD]
[TD="width: 20%"]CCM[/TD]
[TD="width: 20%"]50,560[/TD]
[TD="width: 15%"]48.09[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]SLAA WILLIBROD PETER [/TD]
[TD="width: 20%"]CHADEMA[/TD]
[TD="width: 20%"]37,694[/TD]
[TD="width: 15%"]35.85[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]LIPUMBA IBRAHIM HARUNA [/TD]
[TD="width: 20%"]CUF[/TD]
[TD="width: 20%"]14,752[/TD]
[TD="width: 15%"]14.03[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]KUGA PETER MZIRAY [/TD]
[TD="width: 20%"]APPT - MAENDELEO[/TD]
[TD="width: 20%"]209[/TD]
[TD="width: 15%"]0.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]RUNGWE HASHIM SPUNDA [/TD]
[TD="width: 20%"]NCCR-MAGEUZI[/TD]
[TD="width: 20%"]116[/TD]
[TD="width: 15%"]0.11[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT [/TD]
[TD="width: 20%"]TLP[/TD]
[TD="width: 20%"]76[/TD]
[TD="width: 15%"]0.07[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"]DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA [/TD]
[TD="width: 20%"]UPDP[/TD]
[TD="width: 20%"]17[/TD]
[TD="width: 15%"]0.02[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"][/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 5%"][/TD]
[TD="width: 15%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 20%"]1,720[/TD]
[TD="width: 15%"]1.64 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
[TD="width: 20%"][/TD]
[TD="width: 20%"]105,144[/TD]
[TD="width: 15%"]100 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Ukilinganisha haya matokeo ya kura za Urais na yale ya Ubunge kwa Jimbo hili la Segerea utagundua kuwa kuna tatizo katika IDADI ya wapiga kura za Urais na Ubunge. Hapa ndipo penye matatizo makubwa. Kwamba jimbo hilo hilo moja kura za Ubunge zinakuwa nyingi au ndogo kuliko za Urais kwa chama kilekile,kwa mfano kwanini CCM hao hao wampigie Rais wao watu 50,560 lakini kwenye Mbunge wampigie kura 43,554???Haiwezekani mtu amkatae Rais wa Chama kilekile lakini ampe kura Mbunge wa chama kile kile au kinyume chake!!!Haingii akilini. Kama wewe umechagua Rais wa CCM kwanini hutaki mbunge wake? Rais atafanyaje kazi bila Wabunge?Au kwanini mtu amchague Rais kutoka CHADEMA halafu amkatae Mbunge wa CHADEMA????
Hapa NEC wanadanganya na hii inadhihirisha UCHAKACHUAJI wa KURA!!!
Vipi yule mgonjwa wenu hajafatu huko ujerumani....Biashara yake imeisha huyo . Nafikiri anajuta maisha yake yote , aliwaamini wakina 6 na mwakyembe sasa wamemwachia manyoya .kweli nimeamini LIFE IS NOT A LUMP OF SUGAR.
Na bado, mtasikia mengi! Hivi ndivyo watawala wetu walivyoshinda, hivi ndivyo polisi wetu wanavyotumiwa, hivi ndivyo tume 'huru' ya uchaguzi hufanya
Mbunge wa Jimbo la Segerea, Makongoro Mahanga (CCM).
Shahidi wa pili Gervas Barandaje (29), amedaikuwa kura za urais zaidi ya 10,000 za Kata ya Kiwalani, Jimbo la Segerea, hazikujumuishwa katika matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31, 2010. Barandaje ambaye ni shahidi wa upande wa mlalamikaji, alikuwa mratibu wa mawakala wote wa Kata ya Kiwalani wa Chadema alitoa ushahidi huo katika kesi ya kupinga ushindi wa Mbunge wa Jimbo la Segerea, Makongoro Mahanga (CCM).
Alitoa ushahidi huo mbele ya Jaji, Profesa Ibrahimu Juma wakati akiongozwa na wakili wa mlalamikaji, Fred Mpendazoe (Chadema), Peter Kibatara, katika Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam. Alidai kuwa akiwa katika ofisi ya Ofisa Mtendaji kwa ajili kufanya majumuisho kwa Kata ya Kiwalani, wasimamizi wasaidizi walianzisha vurugu za kudai posho kwa ofisa mtendaji wa kata hiyo.
Alidai wasimamizi waligoma kukabidhi fomu za matokeo ya wagombea wa urais, ubunge na udiwani wakidai kulipwa posho zao kwanza kama walivyokubaliana. Alidai baada ya mtendaji kukabidhiwa fomu hizo aliwafahamisha waratibu kwamba hawataweza kufanya majumuisho ya kura za udiwani kwa sababu fomu za matokeo ya vituo 23 hazipo. Shahidi alidai baada ya kumuhoji kupata ufafanuzi zaidi alidai fomu hizo ni za urais, ubunge na udiwani na hajui alipoziweka hivyo apewe muda wa kuzitafuta.
Alidai wapiga kura katika kila kituo idadi yao ilikuwa kati ya 450-500, na kwamba aliendelea kumsumbua ofisa mtendaji kila baada ya saa mbili akitaka kujua kama fomu zimepatikana, lakini siku ya pili yake aliwafahamisha kuwa zilipatikana fomu 16 na zingine hazijulikani zilipo.
Alidai kulikuwa na kundi kubwa la watu waliokuwa wakisubiri matokeo ya udiwani ambayo yalitakiwa kutangazwa katika kata na baadaye aliingia mtu aliyekuwa kavaa tisheti yenye nembo ya tume akiwa kaongozana na askari polisi zaidi ya nane wenye silaha. Mtu huyo alipofika alitoa amri kwamba ametumwa na Mkurugenzi wa NEC kuondoka na msimamizi wa uchaguzi wa kata pamoja na vifaa vya uchaguzi.
Tulihoji bila kuogopa polisi, ataondokaje naye wakati kuna fomu hazijaonekana kwa ajili ya kufanya majumuisho, alijibu ameagizwa hivyo kwa sababu saa 72 za kutangaza matokeo zimeshapita hivyo kila kitu kitafanyika Anartoglo, alidai Barandaje na kuongeza kuwa askari polisi waliwapangua waratibu kutengeneza njia kisha msimamizi wa uchaguzi kata alifuata na kuondoka kuelekea alikohitajika pamoja na vifaa vya uchaguzi.
Alidai kuwa baada ya kuondoka msimamisi wananchi walihamaki wakihoji kwanini waliruhusu aondoke wakati kuna fomu za matokeo hazikupatika na kuwa hasira hizo ziliwafanya wachome ofisi ya Ofisa Mtendaji wa Kata ya Kiwalani.