Updates; Kamanda Mawazo aipotezea mwelekeo CCM

Mawazo anataaluma ya ualimu wa sekondari.
 
Huyu kamanda anatisha,sio lazima uwe mbunge ndio upiganie haki,na ubunge sio kila kitu jembe linapiga kaz ile kwasana mwenyezi mpe mahitaji yamstahiliyo ili atuokoe kwani yeye ni mbegu bnra iliyo kubali kuoza ili mazao yaote viva mwana ngosha
 


Continue Continue Man, Sante sana mungu akulinde!!!
 
Tuko nyuma yako kamanda,wewe ni mfano lazima kuna watu watafuata nyayo zako na mwisho ukombozi wa nchi hii utapatikana pamoja kamanda pambana wapiganie ndugu zako
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa diwani wa ccm huko mikoa ya kaskazini. Alikuwa anaitwa Mawazo. Ndio huyu anaeongelewa hapa?
 
Kamanda hakika kazi unayoifanya inaonekana kila la kheri kamanda......Tunakusubiri kwa hamu sana kamanda kwenye mkutano wa hadhara Kishiri kata ya IGOMA Jumapili ya wiki hii....Viva CHADEMA....Mpe hi sana HUSNA,MICUS na Makamanda wengine
 
Huyu Kamanda Mawazo, Mwenyezi Mungu amjalie uzima tu.
 

View attachment 84606siku alipokamua kirumba mwanza

Nimekusoma Mzee. Ndo huyu. Nilimuona sikumoja miezi ya nyuma sana kwenye TV akihojiwa na Angelo Mwoleka wa Star TV wakati huo ni diwani wa ccm nafikiri. Alikuwa moto na nilishangaa alikuwaje ccm, mpaka nikarekodi na hicho kipindi. Huyu jamaa yuko juu!!!
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa diwani wa ccm huko mikoa ya kaskazini. Alikuwa anaitwa Mawazo. Ndio huyu anaeongelewa hapa?

ndiyo yeye alikuwa diwani wa kata ya sombetini kupitia ccm kabla hajajitambua na kuhamia chadema..
 
Reactions: mzm
Kuna jamaa mmoja alikuwa diwani wa ccm huko mikoa ya kaskazini. Alikuwa anaitwa Mawazo. Ndio huyu anaeongelewa hapa?

huyu alikua diwani wa sombetiti kwa tiketi ya ccm. mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…