maguzu masese
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 283
- 141
Baaada ya kamanda Alphonce Mawazo na timu yake kuwasili katika kisiwa cha Iyumbo,kilichopo katika jimbo la Muleba kaskazini mkoani Kagera na kupiga mkutano mkubwa ukiambatana na maandamano makubwa ya shangwe toka kwa wafuasi wa CHADEMA katika mitaa ya kisiwa hicho kumepelekea muendelezo wa masikitiko na majonzi ya kuondokewa na mamia ya wanachama wa CCM katika kanda ya ziwa na hivyo kupelekea kupoteza muelekeo wa chama hicho katika mikoa na wilaya za kanda ya ziwa.
Kamanda Mawazo na timu yake pamoja na makamanda wengine wengi toka Muleba hivi sasa wamepanda Mtumbwi uliopambwa bendera kibao za CHADEMA kuelekea visiwa vingine zaidi,ambapo kesho watapiga mikutano mingine na kukuendelea kupokea wanachama wapya wa CHADEMA katika visiwa vya ISENYI na LUSHONGA.
VIVA CHADEMA,VIVA KAMANDA MAWAZO.

Huyu Ole Milya alipewa kazi ya kuisambaratisha ccm huko SIMANJIRO, kuhakikisha Ole Sendeka harudi bungeni 2015. sasa sijui ni kwanini Ole Milya hasikiki pengine huko Simanjiro hakuna member wa JF awezaye kutuletea yanayojiri huko.Ole milya naye mbona hasikiki?
Huyu Ole Milya alipewa kazi ya kuisambaratisha ccm huko SIMANJIRO, kuhakikisha Ole Sendeka harudi bungeni 2015. sasa sijui ni kwanini Ole Milya hasikiki pengine huko Simanjiro hakuna member wa JF awezaye kutuletea yanayojiri huko.
Mkuu LiverpoolFC habari kuhusu Ole Milya Mkuu LENGIO anajaribu kututoa shaka kama anavyoeleza hapa;
Milya kwa kweli uchaguzi ukifanyika saa yoyote muda wowote ni mbunge. Amefanikiwa kuwanyonyoa magamba sehemu zote walizokuwa na nguvu kuanzia mirerani landanai komolo naberera orkasmet msitu wa tembo kote huko ukipita bendara za chadema ziko juu.anachoomba siku ya uchaguzi ni ulinzi wa kura tuu.sendeka amebaki na ahadi hewa ya kutoa maji mto ruvu ahadi mirerani.
Kamanda wa ukweli ni mchapa kazi, sio mtangaza nia. Hapo tunajinea wenyewe pumba na unga.Kama ni mchapa kazi CHADEMA imempata, chini ya huyu KAMANDA MAWAZO hakuna rangi CCM itaacha kuiona huko site (KANDA YA ZIWA)