Updates ibada ya kumuaga Mh J Sumari msasani Dar

Tumetumia dakika 5 tu kutoka nje, can you imagine. Naona wanae wamebeba msalaba na picha ya bana yao. Wamevaa suti zao mpya aisee.

Jeneza linavishwa national flag naona hapa na wapambe wa bunge
 
Kimei ashindwa kutoa salam, ajawa na sauti yenye simanzi, machozi yamtoka.
Spika agoma kutoa salam, protokali haiguzingatiwa.
Manywele kama kawaida front desk, leo yuko beneti na makinda utadhani mkewe.

umekuja kutoa updates ama kumtangaz kimei
naomba protokal ifwate tupe updates tafadhali
 
Edo aka mamvi naona habanduki kwenye jeneza, aisee urais ni noma. Malasula anatuaga, kutoka hapa kkkt msasani, nawaaga kwaherini.

Pangu Pakavu
 
nilitaka kushangaa, huyo kimei ajifanye anasikitika sana leo wakati msiba unasiku tatu sasa, kumbe ni mipombe yake

jaana alitoka kempinsiky hoi na mappombe yake naona kaamua kuyaamkia huko msibani
 
Mzee wa mikungu ya ndizi nadhani umeona hawa CHADEMA wanavyokosa ushirikiano? Kwanza tujuze kama wapo hapo na niakina nani maana wanaonekana kusahau juzi tu wenzao CCM walivyoshiriki kikamilifu katika msiba wa REGIA MTEMA.

RIP Jeremiah Sumari.
Ni kweli usemayo, msiba ni wa jamii si chama peke yake,..pia nadhani uwepo mdogo wa uhudhuriaji wa watu ni kutokana na mambo hayo yote kufanyika mbali na nyumbani/jimboni kwake..,pia si vyema kulinganisha na msiba wa Maremu Regia,hawa walikuwa watu tofauti na hamasi tofauti za watu dhidi yao
 
Edo aka mamvi naona habanduki kwenye jeneza, aisee urais ni noma. Malasula anatuaga, kutoka hapa kkkt msasani, nawaaga kwaherini.

Pangu Pakavu

umejitrahdi ingawa umekuwa mnyimi kwenye picha
 
dah hii thread comment za hossam na Pdidyy inabidi watu wawachukulie kama watani wa wafiwa
 
Huku hakuna cha Chadema wala TLP naona suti za wazee tu ndio zilitawala. Hakuna gwanda hata moja.
 
Mzee wa mikungu ya ndizi nadhani umeona hawa CHADEMA wanavyokosa ushirikiano? Kwanza tujuze kama wapo hapo na niakina nani maana wanaonekana kusahau juzi tu wenzao CCM walivyoshiriki kikamilifu katika msiba wa REGIA MTEMA.

RIP Jeremiah Sumari.

Mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya marehemu Regia na Sumari. Regia alikuwa member hapa na alikuwa mpambanaji sasa sijui huyu mzee utamweka wapi kati ya member wa jf au mpambanaji? Nakumbuka mpambanaji huonekana na anaowatetea.
 
Tumefika Karimjee. Waheshimiwa kadhaa wameshawasili. Mheshimiwa Lowassa, mama Makinda, viongozi wa chama na serikali
 
Yaani uko msibani huku unatoa salamu za dhihaka,unajua ni watu wangapi wanasoma hapa?

Mbona watu mnakosa busara kiasi hicho hivi nani atapenda ajiunge na watu mliokosa utu kiasi hicho?

Halafu 2015 mnataka kura watu wenyewe hamna utu kiasi hicho.
 
Yaani uko msibani huku unatoa salamu za dhihaka,unajua ni watu wangapi wanasoma hapa?
Mbona watu mnakosa busara kiasi hicho hivi nani atapenda ajiunge na watu mliokosa utu kiasi hicho?

That's very bad. Ni heri mtu angekaa nyumbani tu.

Jaji Mkuu amewasili Karimjee.
 
Yaani uko msibani huku unatoa salamu za dhihaka,unajua ni watu wangapi wanasoma hapa?

Mbona watu mnakosa busara kiasi hicho hivi nani atapenda ajiunge na watu mliokosa utu kiasi hicho?

Halafu 2015 mnataka kura watu wenyewe hamna utu kiasi hicho.

mambo ya watani kwenye msiba unayafahamu au?
 
Mbatia amewasili tayari. Pia Mhe Halima Mdee, mkuu wa mkoa wa Dsm. Mawaziri - Maige, Ngeleja wamefika.
Mhe Mbowe na Mhe Lema wameingia
 
Hossam comment zake zimenifanya nicheke sana, hasa kwa mzee wa mvi nyeupe, nenda na karimjee mkuu utupatie na updates za uko.
 
Mbatia amewasili tayari. Pia Mhe Halima Mdee, mkuu wa mkoa wa Dsm. Mawaziri - Maige, Ngeleja wamefika.
Mhe Mbowe na Mhe Lema wameingia

Tupo pamoja mkuu, endelea kutupatia updates, vipi white hair kakaa karibu na jeneza nini? si unajua mambo ya urais 2015.
 
Back
Top Bottom