Updates ibada ya kumuaga Mh J Sumari msasani Dar

Updates ibada ya kumuaga Mh J Sumari msasani Dar

Kimei ashindwa kutoa salam, ajawa na sauti yenye simanzi, machozi yamtoka.
Spika agoma kutoa salam, protokali haiguzingatiwa.
Manywele kama kawaida front desk, leo yuko beneti na makinda utadhani mkewe.

Mkuu mbona unaripoti huku unaweka mambo ya mipasho tena!
 
Tupo pamoja mkuu, endelea kutupatia updates, vipi white hair kakaa karibu na jeneza nini? si unajua mambo ya urais 2015.

Amekaa mbele. Kwake its more or less than what u are saying. Ni mkwe mwenziye.
 
mwandishi wa mwananchi yupo hapo?kamera zake ziko kwa JK na Slaa??
 
Kwenye red, inawezekana wakati anamwambia hivyo Dr.Slaa, alishaanza kuathirika ubongo. maana hiyo kauli si utamaduni wa Sumari
Sijui Nancy anafeel vipi na msiba huu.

Mkuu nani huyo unaedhani alishaanza kuathirika ubongo?Dr au huyu marehemu? sidhani kama Nancy anahusika 100% kwy msiba huu!!ebu jitafakari kwanza
 
Yaani uko msibani huku unatoa salamu za dhihaka,unajua ni watu wangapi wanasoma hapa?

Mbona watu mnakosa busara kiasi hicho hivi nani atapenda ajiunge na watu mliokosa utu kiasi hicho?

Halafu 2015 mnataka kura watu wenyewe hamna utu kiasi hicho.

Yaani unataka kunambia kuwa JF inasimamisha wagombea 2015. Mi ntagombea wallah vile. JF kumbe chama cha sihasa!
 
Kumezuka jingine, mchungaji ameita kwaya waje kuimba wimbo alioupenda sana, sijui ni lini walimhoji hilo maana hata ndombolo alikuwa anazipenda sana. Namuona kwa mbali CAG Ludovick Utouh, pia naona Dk Kimei kapata ahueni sasa, kachangamka kidogo, nadhani jinsi muda unavyoenda ndio hangover inaishaisha, maana jamaa chapombe sana.

Mkuu huyo kimei nadhani atakuwa fisadi mwenzake
 
Kama alichakachua kura jimboni,Mungu akamlaze kwenye everlasting fire maana alidhulumu haki za wanyonge wasiokuwa na hatia.
 
Edo aka mamvi naona habanduki kwenye jeneza, aisee urais ni noma. Malasula anatuaga, kutoka hapa kkkt msasani, nawaaga kwaherini.

Pangu Pakavu

Mkwe mwenzake halafu mwizi mwenzake vile vile
 
Poleni na msiba! Nimesoma hpa Nancy. Ni Nancy Sumari yule Miss TZ? Kumbe ni mtoto Marehemu Sumari? Sikujua!
 
Back
Top Bottom