Jamani hali ya mbagala sio shwari kabisa.. nimasaaa matatu sijaweza kuvuka daraja la mzinga kwenda Kongoe kwa foleni iliopo.. wahusika waje watoe msaada
Wakuu tuishio jiji letu la dar..poleni kwa mvua..je saa hii uko mitaa gani na foleni inaendeleaje na mvua hii...vp wazee wa feva wanavutavuta foleni au wamesepa...?!
Watu wa kongoe , mzinga na kuendelea tumekuwa tukitaabika sana kwenye hili eneo. Ikitokea ajali ujue mtakesha hapo hakuna namna yakupita. Sioutani kuanzia saa tisa kasorobo nipo hapa mbagala hata darajani sijafika hadi sasa.
Jamani hali ya mbagala sio shwari kabisa.. nimasaaa matatu sijaweza kuvuka daraja la mzinga kwenda Kongoe kwa foleni iliopo.. wahusika waje watoe msaada
Watu wa kongoe , mzinga na kuendelea tumekuwa tukitaabika sana kwenye hili eneo. Ikitokea ajali ujue mtakesha hapo hakuna namna yakupita. Sioutani kuanzia saa tisa kasorobo nipo hapa mbagala hata darajani sijafika hadi sasa.
Pole sana, hiyo hadi unafika nyumbani unakuwa hoi sana. Kwa kweli mimi na wewe hatuna la kufanya au kubadilisha, tatizo wahusika wakuu wanafumbia macho