MNYAMAKAZI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,118
- 2,199
Update application yako mkuu na unayemtumia documents lazima awe na new version. Hata kwenye group ikitokea hata mtu mmoja tu kwenye group ana version ya zamani huwezi kutuma document.Mbona nakuwa najarb alafu inashindikan