VictoriousYouth
Member
- Jan 16, 2014
- 63
- 11
nimepata fununu soon yanatoka wanaitajika watu 300 ila GPA inamata hapo
mh ss hzo gpa si bac tna mi na 3.4 sina changu
gpa ya 3.4 ya udsm vpy tutaitwa kwl
kwann umefikiri ivokwa gpa kubwa tra watajaa saut, tumaini,cbe na teofilo kisanji