Update za tanzania leaf tobbaco company ltd

Update za tanzania leaf tobbaco company ltd

Bro leo tarehe ngap? Na umeambiwa ndani ya siku 7 daaa wabongo bwana!!
 
Zaidi ya wiki moja sasa interview zinafanyikia Tabora ofisi za tltc miemba
 
Watakuwa bado hawajapata watu wenye sifa, watatangaza tena nafasi kwa upana ili wapate wenye sifa....ukipata tangazo wajuze na wenzio usiwe mbinafsi. Nakutania bro...nadhani wapo kwenye hatua za mwisho kuwaiteni....please wait wakati simu yako ikiwa ibapatikana masaa yote ya kazi
 
Back
Top Bottom