Update za tanzania leaf tobbaco company ltd

NUNEZ DIAZ

Member
Apr 15, 2015
85
115
Habari..kuna yoyote anae fahamu kuhusu kuitwa kwenye interview kwenye kampuni ya tumbaku ya tanzania leaf tobbaco company ltd...
 

Attachments

  • advert - employment opportunities.pdf.pdf
    156.1 KB · Views: 179
Bro leo tarehe ngap? Na umeambiwa ndani ya siku 7 daaa wabongo bwana!!
 
Watakuwa bado hawajapata watu wenye sifa, watatangaza tena nafasi kwa upana ili wapate wenye sifa....ukipata tangazo wajuze na wenzio usiwe mbinafsi. Nakutania bro...nadhani wapo kwenye hatua za mwisho kuwaiteni....please wait wakati simu yako ikiwa ibapatikana masaa yote ya kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom