Update za movie na trailer

quavio wa tz

Member
Aug 22, 2018
88
36
'A Cure For Wellness'



Lockhart anakutana na baadhi ya maboss zake kujadili barua iliyotumwa na Boss wao (CEO) Pembroke kwamba hatarudi tena na wasimtafute. Kitu kinachowafanya wawe na mashaka na barua hiyo Kwasababu wanavyomjua Boss wao asingeweza sema ivo.

Pembroke Alienda Uswizi kutokea New York Marekani kwaajili ya Matibabu. Wote kwa pamoja wanakubaliana. Lockhart amfwate na kuhakikisha anarudi naye New York.

Changamoto ni kwamba. Hospital aliyoenda kumfwata, Ukishaenda Ningumu Kurudi. Yani na wewe unaambiwa ubaki Eti unaumwa pia.!

Lockhart baada yakufika kwenye hospital iyo tena kwa kutuamini sana anaonana na daktari na kumuelekeza kwamba amekuja kumchukua Mr Pembroke. Daktari anakubali nakumuomba Aje siku inayofwata kwaajili ya kufanikisha taratibu za mgonjwa kutoka.

Lakini Baadae Lockhart mwenyewe anajikuta kwenye kitanda wodini akiwa amevunjika mguu. Na hakumbuki kitu. Anapouliza naambiwa wakati anaondoka alipata ajali.

Kila kitu kwenye hospitali Hii kinakufanya uwe mgonjwa kwanzia maji unayokunywa pale wanapokukaribisha
View attachment 1604379
 

Attachments

  • 122124504_352419542741409_1544459648420689250_n.mp4
    17.5 MB

Similar Discussions

Back
Top Bottom