Update za government salary scheme na mashirika yake

Mimi salary scale yangu hata siku moja sijawahi kuiona ikiwekwa humu JF kwa usahihi.

Huwa nashangaa mtu kwa ujasiri mkubwa anasema watu wa kada fulani wanalipwa kiasi x cha pesa wakati anachokipost hakina uhalisia.
Anachopost ni kikubwa au kidogo.
 
Mwenye PDF au Excell inayoonyesha scale za mishahara za serikali na taasisi zake ,Please share

Nimeshangaa CAG anasema mshahara wake ni 4 .7M

Pia range ya mishahara ya Directors wa taasisi
Itakusaidia nini!?
 
Umeshangaa mshahara wa CAG mkubwa au mdogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…