niliitwa kwenye interview sikojiwa wakasema watatitafuta vp wenzangu mmeitwa na hata ile ya pili niliuma sikuitwa tujuzane jaman
Andika vizuri basi ndugu yangu.
nahitaji kujua kama kunamtu amesha anza kazi tv 1 baada ya interview ya mwezi wa 11 mwaka jna. Maana niliitwa kwenye interview nikaambiwa nafasi zimejaa. Wakatoa tangazo tena nika appy je kuna mtu yoyote ameitwa na kuanza kazi?
niliitwa kwenye interview sikojiwa wakasema watatitafuta vp wenzangu mmeitwa na hata ile ya pili niliuma sikuitwa tujuzane jaman
Fani ya UHANDISHI! hahahahaha! Nyani haoni......le
watu wa jf wanajua kukatisha wenzao tamaaa hahahaha hapa hamuwezi kabisaa
We uliona alichoandika kabla hakijarekebishwa? Hatumkatishi tamaa, tuliwambia ukweli
hata kama nimekosea huwezi kushindana na android kwenye kuandika. Ulipashwa kunierekebisha kiustaarabu sio kukashifu. Hivi ndo maana wenzetu wanachukua ajira na sie tunabaki kuwa vijakazi kama muhudum na mfanya usafi.
Niliitwa kwenye interview sikuhojiwa wakasema watatitafuta, vipi wenzangu mmeitwa? na hata ile ya pili niliumba sikuitwa.
Tujuzane jamani.