GRAPHICS DESIGN
Senior Member
- May 28, 2014
- 103
- 39
Habari wana JF samahani kwa kujaza server nimerudi tena naomba kujuzwa juu ya hawa jamaa coz tulifanya interview pale kiwandani kwao, kwa anayejua plz anijuze.
Ulifanya interview gani????
mwishoni hukupewa nafasi ya kuulizana ukauliza lini watakuwa tyr au kuchukua busnes card ya hr!
Walisema after 6 days kila mtu atajulishwa xo kimyaaaa mpaka leo.
Habari wana JF samahani kwa kujaza server nimerudi tena naomba kujuzwa juu ya hawa jamaa coz tulifanya interview pale kiwandani kwao, kwa anayejua plz anijuze.