Update: Nina Soko la nje la Sunflower Oil na Coconut

Zamazamani

JF-Expert Member
Jun 13, 2008
1,865
782
Wadau
Mtakumbuka nilishawasilisha hapo awali.Bado sijapata serious supplier wa Refined Sunflower Oil kwa ajili ya soko la kimataifa ,hii ni fursa ambayo bado iko wazi na ninavyochelewa huenda wengine wakaitumia. Vilevile nimepata wateja wa nazi (coconut) kwa ajili ya soko la nje...Tafadhali mwenye uzoefu au ambaye tunaweza kushirikiana kwa namna yeyote tuwasiliane.
PS..Kwa wale tuliokwisha wasiliana taratibu zinaendelea kama tulivyoongea.
 
1. Qty required? (in tonnes)
2. Quality..?
 
Mkuu eleza vizuri unataka mafuta au alizeti kama ni mafuta tunaweza kufanya biashara.unataka tani ngapi kwa mwaka na unanunua shillingi ngapi?
 
Mafuta ya Alizeti....niambie bei yako....yanahitajika kwa wingi na wateja tofauti tofauti..tatizo ni quaity tu
 
mafuta ya Alizeti....nazi niambie wewe unauzaje
Mkuu naona kama umeleta Neema humu lkn maelezo bado Naomba msaada wako....kwa mfano kuhusu NAZI zinatakiwa zaaina Gani kwa maana ya ukubwa..bei nk....Utakuwa umetusaidia wengi lkn ukisema tu Quality inaweza isieleweke sana
 
Back
Top Bottom