Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,865
- 833
poa kaka tupo pamoja maadam naishi kijiji kimoja pindi hicho kidume kitakapotoka gerezani nitawajuzanaomba uendelee kufuatilia, na kama/mume akiachiliwa tuambie tuanzishe petition. Please follow up na utujuze, au ni-pm mimi.
Dah...inasikitisha sana.
Cha ajabu hapa kwetu tz hakuna umoja maana wanawake wote tulitakiwa kuamka ktk hili na kupinga huu uonevu,, kama mmeona movement ilifanywa na wanawake kenya kwa ajili ya yule binti aliyebakwa. Huyo mume wa Gath hatakiwi kuachwa huru maana amempatia mkewe kilema cha maisha.