dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,126
- 49,385
Waache wafu wawazike wafu wao!!!
Mkuu umei-quote kutoka wapi vile?
Waache wafu wawazike wafu wao!!!
Kwani Papa John wa pili alizikwa wapi au kivipi - maana naona maswali haya hayako straight forward kwani tatizo liko wapi?
Mkuu umei-quote kutoka wapi vile?
Alizikwa ndani ya Kanisa la Kipapa ambalo huitwa Basilica. In short Basilica ndilo kanisa rasmi (namaanisha jengo, sio imani) ambapo katika hali ya kawaida (kama hayuko safarini, n.k.) Papa huongoza ibada nalo sio jingine ni St. Peter's Basilica huko nchini Vatican.
Askofu yeye huzikwa katika kanisa (jengo) rasmi la kiaskofu ambapo ndipo askofu husika katika jimbo lake katika hali ya kawaida huongoza ibada za kila siku. Kanisa la kiaskofu hujulikana kama Cathedral na kwa kuwa Kaishozi haikuwa Cathedral ndio maana "alihifadhiwa" pale kwa muda akisubiri Cathedral ikamilike. Katika kila jimbo kunakuwa na Cathedral moja tu na si vinginevyo.
Huo ndio ukatoliki ambao wengine, kama ilivyo kwa imani zingine, wanapata shida kuuelewa kwani ni suala la kiimani zaidi na imani za watu ziheshimiwe. Hivi leo ukiulizwa inakuwaje wengine kwenye imani zao wakifa wanapaswa kukamuliwa kinyesi ndani kwao na uchafu kuchimbiwa humo humo ndani inaweza kuelezeka katika hali ya kawaida? Hayo ni mambo ya imani na kila mmoja ana hiari kuamini akitakacho!
Lakini je, hivi Yusufu mwana wa Yakobo (Israel) akiwa mtawala huko Misri hakuomba akifa mabaki yake yahamishiwe katika nchi ya ahadi (Kanaani) na ikafanyika hivyo miaka mingi baada ya kifo chake? Haya mambo yamekuwepo tangu mwanzo wa nyakati wala sio ajabu.
eti eeeeh...Mkuu hujui imetegwa hapa kwaajili ya ban?