Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
mnalisha watu sumu halafu unailaumu ccm, ujinga huuThe truth will set you free, CCM thinks CHADEMA is their size but I bet they are wrong, Watch as things unfold
mnalisha watu sumu halafu unailaumu ccm, ujinga huu
SHERIA ICHUKUE mkondo wake na hukumu itoke haraka huyu mtu afungwe
Pole kiongozi kaza buti haki yako haiko mbali.
NB
katemana sio hakimu mfawidhi ni hakimu mkazi (aidha RM1 au senior kama keshapanda kwa vile ana miaka 6 kazini sasa)
Plastic brains
vijana wa chadema, msipobadilika mtakiuwa chama chenu. kwa kumkumbatia lwakatare pamoja na wahalifu wengine wanaokamatwa kama wale wa tindikali
Wilfred Lwakatare
Wasalaam waheshimiwa Wananchi,ndugu,jamaa na marafiki.Leo asubuhi,kesi yangu imeitwa katika mahakama ya mkazi Kisutu na kusikilizwa na Hakimu Mfawidhi Aloyce Katemana.Kesi imehairishwa hadi 08/Julai/2013,ikiwa simu zangu bado ziko mikononi mwa polisi mpaka uchunguzi utakapokamilika.Pia,mshtakiwa wa pili Joseph Ludovick Rwezaula amerudishwa mahabusu mpaka atakapokamilisha nyaraka za dhamana ikiwa dhamana yake iko wazi.
Nichukue fursa hii kumshukuru kila mmoja anayeniombea na kunitakia kila lenye kheri.
Nawatakia siku njema Makamanda. - with Mutalemwa Lwakatare and 3 others.
ongea yote lakini ukweli ni kwamba, hatupaswi kumsifia mhalifu kwa vitendo vyake vya kinyama dhidi ya wananchi wenzake. huo sio ubinadamu..mwalimu nyerere alihimiza usawa na haki.
SHERIA ICHUKUE mkondo wake na hukumu itoke haraka huyu mtu afungwe
ongea yote lakini ukweli ni kwamba, hatupaswi kumsifia mhalifu kwa vitendo vyake vya kinyama dhidi ya wananchi wenzake. huo sio ubinadamu..mwalimu nyerere alihimiza usawa na haki.[/QUOTuE]
aiseeee babayangu huna jipya nenda kachukue buku 7 yako kwa nape ha ha ha ha