Upatikanaji wa Miche ya Miti- Mwanza

Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,820
8,886
Wakuu heshima mbele,

Niko kwenye juhudi za kupanda miti huku kwetu maeneo ya kanda ya ziwa. Nina uhitaji wa miche ya miti (ashoka, palms, pines nk). Uhitaji wangu ni wa kiwango cha kati (bei itanipa picha ya kiasi ninachokihitaji). Shida yangu ni kujua kama kuna vitalu vya miti tajwa hapo Mwanza na kama vipo, bei zinakwendaje kwa mche mmoja? Mfano mche mmoja wa Ashoka au pine unakwenda kwa bei gani? Nikipata jibu itanisaidia kufanya approximation na kujipanga. Kwa sasa niko Dar. Nategemea kwenda Mwanza wiki kama mbili zajazo. (kununua miche Dar naona ni Changamoto especially kuisafirisha.

Pia mwenye mawazo kuhusu zao la miti kwa ujumla (upatikanaji wa mbegu, upandaji, ustawi wake na mengine muhimu kuhusu miti) anaweza kushare na wananzengo hapa.

Shukrani sana!

Masanja
 
Back
Top Bottom