athmannyoka
Member
- Nov 30, 2015
- 12
- 3
Hivi pale kariakoo ni duka gani naweza kupata FTA receiver ili niweze kuona ligi za ulaya kupitia sports 24 na sony
Mkuu nimenunua receiver ya gsky v7,naomba nisaidie ni lnb zipi nzuri kwa fta ili nizinunue online!msimbazi jengo la simba kwa nyuma, hakikisha ina biss key, power vu na auto roll
nimegoogle google hapa naona inverto ultra (series) wanaisifia sana. hebu nenda jukwaa hilo hapo juu la satelite waulize, sababu unaagizia online yoyote watakayo kushauri ni sawa.Mkuu nimenunua receiver ya gsky v7,naomba nisaidie ni lnb zipi nzuri kwa fta ili nizinunue online!
msimbazi jengo la simba kwa nyuma, hakikisha ina biss key, power vu na auto roll
njia za kufungua chanell ambazo zimefungwa. umewahi kuwa na dish la fta? kuna chanell huwa ukiplay zinaeka kialama cha dola $ then zinaandika scrambled, nyengine zinaandika no feed etcjamanimtujalimakundi yote , biss key, power vu na auto roll mm sizijui lakini nahitaji kufahamishwa na mm niipate hudumakama hiyo
Asante mkuu!nimegoogle google hapa naona inverto ultra (series) wanaisifia sana. hebu nenda jukwaa hilo hapo juu la satelite waulize, sababu unaagizia online yoyote watakayo kushauri ni sawa.