Upatikanaji wa ajira course ya renewable energy technology upoje?

conteh conteh

Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
16
Reaction score
5
Habar ndugu zang, nmechagua course ya renewable energy technology ktk chuo cha DIT nilikua nauliza upatikanaji wa ajira na je hii course ntawezaje kujiajiri mm mwenywe...?? Naomba mawazo yenu
 
Umeshachagua tayari, unahitaji mawazo ya nini sasa. Me nadhani mtu huwa anahitaji mawazo mbadala kabla ya kufanya maamuzi.
 
Hujamwelewa Sana yeye haitaji ushaur juu ya achague au asichague anachotaka kujua ni kuhusu ajira na maslahi pia Kwa hiyo aliyesoma kozi hio atakuwa na uelewa mkubwa kumjibu kuliko sisi
 
Haitosaidia kama ameshachagua
 
Back
Top Bottom