Upasuaji

Upasuaji

Idd hashim

Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
79
Reaction score
17
Jamaa mmoja alifanyiwa upasuaji wa pumbu zake , sasa wakati dokta anaendelea na upasuaji ghafla alitokea paka na kubeba mbegu ambazo dokta aliziweka pembeni kwa ajili ya uchunguzi! Dokta kuona hvyo wakati wa kushona ulipofika ilibidi amuwekee viazi! Siku moja dokta akakutana na yule jamaa mtaani maongezi yalikuwa hivi!Dokta: vipi bwana unaendeleaje siku hizi?Jamaa:siku hizi naendelea vizuri dokta ila nna tatizo moja tu!Dokta: tatizo gani tena?Jamaa: dokta siku hizi naota matembele sio mavuzi! Dokta chali akazimia!
 
Joke ni nzuri ila utamu wake umepungua kwa kuweka conclusion niliyobold. Joke nzuri ni pale unapomwacha msomaji a-imagine mwenyewe conclusion yake! Thanks!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom