Upasuaji wa bawasiri

kwe2tu

Senior Member
Dec 30, 2023
109
173
Wadau naomba msaada kwa mara nyingine tena kwa habari ya bawasiri
Nimetumia dawa za kienyeji za kunywa na kupaka nimetumia za tiba mbadala lkn wapi ndipo nikaamua kwenda kwa mtaala mmoja nikaambiwa yeye huwa anakutibu mpk bawasiri ina isha kbs

Na jamaa zangu wengi wameenda kwa huyo mtu wametibiwa na wanepona kbs na ninafanyanao kz sehemu moja sio mmoja ni zaidi ya wanne na wamepona kbs.

Ndipo wakanishauri na mimi niende huko nikaandaa pesa zangu mpk huko nikaanza matibabu matbabu hayo yanajumuisha maumivu makali mno sio hospital kuna mtu tu ni mzoefu wa miaka mingi katika matibabu hayo ya bawasiri.

Wakati mimi naenda nilikuwa nimesoma sana kwenye mtandao kuhusu aina za bawasiri na hatua zake kwamba kwa ile ya nje haina gredi ila ya ndani yaan internal ina grade km nne hivi

Lkn ni wakati naenda nilikuwa na hofu nikiamini huyu atakuwa huwa anatibu bawasiri ya nje maana ya ndani ni ngumu sana.

Nililipa km 400k nikaanza matibabu nakuja kumaliza tiba nikaambiwa nimepona lkn bawasiri bado ipo nikaona sio shida

Ishu yangu kuu naomba msaada kujua ni hospital gani wanafanya upasuaji wa bawasiri ya ndani kwa uhakika na usahihi zaidi ili nikatibiwe huku imeshindikana kabisa natoka bado bawasiri inachungulia chini naomba msaada kwa anaejua

Km kuna mtu alishafanyiwa upasuaji wa bawasiri ya ndani humu naomba tu wasiliane pm

Nb na uhakika mkubwa huyu ndugu ni bingwa wa bawasiri ya nje hilo na uhakika kabisa bila shaka
 
Wajinga ndio waliwao... nenda hospitali kubwa yoyote iliyokaribu nawe ...kakutane na daktari bingwa wa upasuaji (general surgeon) ni procedure ya kawaida kabisa kwake ..pia hata ukikutana na daktari MD mzoefu anakufanyia vizuri kabisa ...kila raheri mkuu
 
Mkuu hujaugua ukiambiwa hata kinyesi chaa mtu ukila unapona kama unaumwa hasa lazima ule kama nilivyofanya mimi
Asante kwa ushauri asee
 
Ni bawasiri ya ndani unaweza kupakaje??
ila bawasiri mtu akifanyiwa upasuaji mara nyingi inarudi,kuna jamaa mmoja amefanyiwa operation mara tatu lakin bado hajapona,sasa hivi anapata choo kwa shida kama kalamu iliyovujia wino sometime inabid asile maana akila akapata choo maumivu yake ni hatari,kuna dawa moja imewasaidia wengi na wamepona nitaifatilia then nitakujuza ni stem cell unaimimina chini ya ulimi na nyama zilizoota zinakatika zenyewe
 
Ni bawasiri ya ndani unaweza kupakaje??
Unapaka tu ivo ivo ila upasuaji na bawasiri huwa inarudi tena, kuhusu dawa za asili ujapata tu mtaalam ungepona tiba ingine majani yalioota juu ya nyumba ila ndo wasema ya ndani
 
Usisahau kutupatia mrejesho nasubiri kwa hamu ndugu
 
Unapaka tu ivo ivo ila upasuaji na bawasiri huwa inarudi tena, kuhusu dawa za asili ujapata tu mtaalam ungepona tiba ingine majani yalioota juu ya nyumba ila ndo wasema ya ndani
Asante ndugu kwa ushauri
 
ila bawasiri mtu akifanyiwa upasuaji mara nyingi inarudi,kuna jamaa mmoja amefanyiwa operation mara tatu lakin bado hajapona,sasa hivi anapata choo kwa shida kama kalamu iliyovujia wino sometime inabid asile maana akila akapata choo maumivu yake ni hatari,kuna dawa moja imewasaidia wengi na wamepona nitaifatilia then nitakujuza ni stem cell unaimimina chini ya ulimi na nyama zilizoota zinakatika zenyewe
Poa asante
 
Screenshot_20240126-000732.png

Umeshawahi jaribu hizo dawa? Unatumia vidonge na ya kipaka kwenye kinyama kwa pamoja. Mimi ilinisaidia ndani ya wiki tu baada ya kuteseka miezi sita kwa huo ugonjwa.
 
Wadau naomba msaada kwa mara nyingine tena kwa habari ya bawasiri
Nimetumia dawa za kienyeji za kunya na kupaka nimetumia za tiba mbadala lkn wapi ndipo nikaamua kwenda kwa mtaala mmoja nikaambiwa yeye huwa anakutibu mpk bawasiri ina isha kbs

Na jamaa zangu wengi wameenda kwa huyo mtu wametibiwa na wanepona kbs na ninafanyanao kz sehemu moja sio mmoja ni zaidi ya wanne na wamepona kbs.

Ndipo wakanishauri na mimi niende huko nikaandaa pesa zangu mpk huko nikaanza matibabu matbabu hayo yanajumuisha maumivu makali mno sio hospital kuna mtu tu ni mzoefu wa miaka mingi katika matibabu hayo ya bawasiri.

Wakati mimi naenda nilikuwa nimesoma sana kwenye mtandao kuhusu aina za bawasiri na hatua zake kwamba kwa ile ya nje haina gredi ila ya ndani yaan internal ina grade km nne hivi

Lkn ni wakati naenda nilikuwa na hofu nikiamini huyu atakuwa huwa anatibu bawasiri ya nje maana ya ndani ni ngumu sana.

Nililipa km 400k nikaanza matibabu nakuja kumaliza tiba nikaambiwa nimepona lkn bawasiri bado ipo nikaona sio shida

Ishu yangu kuu naomba msaada kujua ni hospital gani wanafanya upasuaji wa bawasiri ya ndani kwa uhakika na usahihi zaidi ili nikatibiwe huku imeshindikana kabisa natoka bado bawasiri inachungulia chini naomba msaada kwa anaejua

Km kuna mtu alishafanyiwa upasuaji wa bawasiri ya ndani humu naomba tu wasiliane pm

Nb na uhakika mkubwa huyu ndugu ni bingwa wa bawasiri ya nje hilo na uhakika kabisa bila shaka
Bugando mwanza wanafanya
 
Ulijaribu kuchemsha majani mabichi ya mpapai kisha unatawaza(kuchamba) dawa ikiwa bado vugu vugu?
Ikikusaidia dawa hii tuletee mrejesho utawasaidia na wengine.
Unaweza ukajikanda kwa hayo maji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom