Upanuzi wa barabara ya Morogoro

ungeweka na kibao cha contractor anayejenga ingependeza zaidi pili sijaona zile shughuli za uwekaji JIWE kutoka kwa jiwe mwenyewe.[emoji41][emoji41]
 
Safi sana Ile wale waliobomolewa walipwe fidia. Ukiwa umejenga ndo utajua uchungu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…