Upande wa utetezi waweke pingamizi la kupokelewa ushahidi wa Denis Urio hadi wajiridhishe majina yake, zipo taarifa mitandaoni zinadai huyu siyo Denis

Ushahidi wa Urio unaegemea upande wa utetezi, kwanini waukatae, mtu ambae ameishawaweka huru watuhumiwa.
 
Back
Top Bottom