Upande wa pili Wanafosi mwaliko kwanini

mwaibile

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2022
Posts
2,064
Reaction score
4,993
Nahope we good iv kwann ndugu zangu wakristo mnakuwa mnafosi sana mialiko ya sikuku ya eid simu nyingi kuliko wasilaumu kusumbua kwenye sikuku za Christmas au pasaka yan iv simu kama zote zinataka mwaliko wa Eid ila wote ni christian
 
We umejuaje wanafosi!?
 
Wakristo walialikwa sebuleni wameingia mpaka chumbani.

Walivyokuwa wanapelekewa viporo vya futari na daku wamezoea na sasa wanaona ni haki yao.

Eti unakuta mkristo anagongea kanzu ili aende akafuturishwe, ni ushamba!

Nionavyo mimi ni kwamba waislamu wana utamaduni wa kula kifamilia tofauti na wakristo, hivyo hawana jadi ya uchoyo. Wakristo chakula kinawachanganya sana!
 
Tumeshakubaliana mshamba hachekwi mkuu
 
Nahope we good iv kwann ndugu zangu wakristo mnakuwa mnafosi sana mialiko ya sikuku ya eid simu nyingi kuliko wasilaumu kusumbua kwenye sikuku za Christmas au pasaka yan iv simu kama zote zinataka mwaliko wa Eid ila wote ni christian
Kwa hio unataka kusema mkuu? Hujamaliza kusema malizia ulichotaka kusema
 
Hii research umeifanyia wapi mkuu?
 
nyakati hii hata neno "kobaz" linapotea kwa muda, bongo hatari sana 😁
 
Nahope we good iv kwann ndugu zangu wakristo mnakuwa mnafosi sana mialiko ya sikuku ya eid simu nyingi kuliko wasilaumu kusumbua kwenye sikuku za Christmas au pasaka yan iv simu kama zote zinataka mwaliko wa Eid ila wote ni christian
Wakristo kipaombele chao kwenye sherehe zao ni pombe, na waisilamu mnasema hamtumii pombe. Hivyo mnajikosesha mualiko wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…