Asante mkuu kwa kushare idea labda kwa niaba ya wote ungeweka hizo Nondo jinsi ya kutumiaMwangaluka nkoi!
Kijana, hicho kidude hakiitwi Meter Box bali Customer Interface Unit (CIU); Kule uswazi tunaita "remote ya mita"
Pamoja na kuingiza umeme (LUKU token numbers), pia kina shortcodes lukuki ambazo sisi wateja tumefundishwa kuzitumia kama tukihitaji.
Meter Shortcodes zipo nyingi:
mf - 001 Enter, 002 Enter, 003 Enter, 004 Enter, 005...... n.k.
Kupitia shortcodes hizi, unaweza kufahamu yafuatayo:
Tarehe ya siku hiyo,
Muda,
Meter serial number,
Available meter credit - kWH,
Power,
Voltage,
Tariff index,
Last recharge amount,
Last recharge date,
..................... n.k.
Nimeweka shortcodes hapo juu.Asante mkuu kwa kushare idea labda kwa niaba ya wote ungeweka hizo Nondo jinsi ya kutumia
Shukurani mkuu uzi huu utasaidia kujua mengi naona kuna baadhi ya shortcut nimeanza kuzielewaNimeweka shortcodes hapo juu.
Mf: Bonyeza 001 kisha piga OK, bonyeza 002 kisha piga OK, ......
mfano: kwa wanaotumia meter aina ya INHEMETER, ukibonyeza 003 OK, unaweza kuona salio la units zako za umeme; Ukibonyeza 004 OK, unaweza kuona umeme unaotumia kwa wakati huo, uko katika Voltage level kiasi gani; 005 OK, kiasi cha mkondo wa umeme (Ampere), n.k.
Poa!Nyongeza ya matumizi ya Customer Interface Unit
Ukibonyeza
•10 kisha enter - Inaleta tarehe ya mwisho ya kuingiza Luku
•50 kisha enter - inaleta Unit ulizo ingiza siku ya mwisho
•90 kisha enter - inaleta Unit zilizokuwepo Kabula ya kununua tena
Nitaendelea kuwajuza
Au CONLOG.haha ndicho ulichojifunza pindi ulipokua na likizo ya ban
sio mbaya, ila weka kwamba ni kwa meter za INHEMETER,
maana itatofautiana na WASION , EDMI , etc