Upandaji wa miti yakibiashara

Upandaji wa miti yakibiashara

dady Vanny

Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
28
Reaction score
9
Habari wana JF....samahani naombeni ushauri nahitaji kufanya ishu yakupannda ile miti yambao..samahani naombeni ushauri wenu maeneo gani yanafaa na miti haina gani inaota haraka na nikianza na heka 1 ntaweza kupata faida kiasi gan na shamba linapatkana kwa bei gani..
 
Inategemeana na sehemu unayotaka kupanda hiyo miti. Kwa maana kila mti hukua vizuri kulingana na hali ya hewa ya ukanda husika.

Kwa mfano ukanda wa pwani na maeneo yanayopokea mvua za kutosha miti inayokua vizuri
Mitiki (red teak) miaka 15-20
Mitiki myeupe (white teak) miaka 8-10
Acacia mangium (mikesia/mizanzibari) miaka 7-10
Cedrella ( miherezi) miaka 10.

Thamani ya soko hutofautiana kama nilivyoipanga
 
Asante kaka
 
Mkoa wa iringa wilayani mufindi
Utapata ekari 1,kati ya sh300,000-500,000
Miti inayokubali ni pines & mlingoti(gams).Kuhusu bei pines inabei kubwa kuliko mlingoti tatizo ukuaji wake ni taratibu..lkn mlingoti pia inakua haraka..kizuri zaidi ukipanda mala 1..wewe kazi yako itakuwa kuvuna tu
Hata moto uunguze miti hii huchipua tena
 
Hyo heka 1 nkivuna napata range ya how much na inakua kwa muda gan
 
Mlingoti maxmum miaka 9
Pines miaka 8-10
Kumbuka itategemea na halijoto ya eneo ulilopanda
Kama kuna joto unawezavuna kwa miaka6.
Ekari 1 ya pine kitaalam inaingia miti600_900,bei yake huuzwa kati ya 30000-50000,kwa mti mmoja
Mlingoti ekari 1inaingia miti kati ya 1000-1200,
Bei ni shilingi 30000 kwa mti unaotosha nguzo
 
mkuu nikurejebishe hapo kwenye idadi ya miti.
pine hupandwa umbali wa mita 3 kila baada ya mche hivyo ekari moja huchukua miche, 500-550 kwa sababu pine ni za mbao hivyo inabidi. zitanuke/kunenepa
Eucaliptus/gums au kwa kiswahili mlingoti hii hupandwa kwa ajili ya nguzo na mbao hivyo hupandwa umbali wa mita 2.5 hivyo ekari moja hupandwa miche 750-790
 
Back
Top Bottom