Upako na siasa.( Sihasa)

Upako na siasa.( Sihasa)

Gwedu Gwedu

Member
Joined
Jul 14, 2025
Posts
24
Reaction score
11
Habari wakuu,, Salamu ki ufupi tuu,

Leo nilienda kwenye Ibada katika kanisa la arise and shine, Kwa Imani yangu Mimi binafsi ninamkubali sana Tena sana huyu bwana Bulldoza mwamposa.( Kila MTU na Imani yake kwa hili tusilijadili)

Kama kawaida baada ya Ibada kuisha Kuna jambo moja kwangu nililipokea kwa masikitiko makubwa Tena sana,,

Ni hivi,kiufupi eneo la Tanganyika packers kawe ( viwanja) ni eneo la serikali na huyu Mtumishi wa Mungu amepangishwa kwa mkataba na Serikali.

Sasa kwa Ratiba inasemekani tarehe 28/8 itakuwa ni alhamisi Hawa ndugu zenu fisiemu wanazindua kampeni pale kawe,na bwana Mwamposa kawaomba Waumini wote waje wote kwenye uzinduzi huo wa Hawa wapuuzi wa kijani,kiukweli (nitarud kuendelea)
 
Back
Top Bottom