Uozo wa Phd Tanzania

Dr chacha na mkewe raia wa kenya wanamiliki chuo feki marekani na ndio walio mpa mch rwakatare phd
 

Umenena vyema, kwa mtazamo wangu wa haraka ni kuwa tatizo hili halitaisha kwa kusema kwa style hii, ni swa na tatizo la rushwa. hawa jamaa tunaowaandika wanakuwa miamvuli ya walio wengi wenye hii tabia.

Ukidig down utaguandua kuwa hatuna elimu yetu ya kitanzania bali ya wazungu, PhD holders wengi wao wamepata elimu nje na si humu, hivyo hatuna foundations ya kuwa hawa reserachers hakika wamefanya resreach za kulisaidia taifa.

kwa walio serious hawa wenye PhD feki automatically wenge vanish kwa haraka sana tu, kama matapeli wote wa PhD ni viongozi what can you say the rest?

hatuna ugunduzi, publications, etc ndiyo maana unaona watafoji na kuendela kufoji. Umenena vyema kuwa wenye vyeti feki wanwanyima ajira wenye vyeti halali..ulipoweka neno ajira tu ndio umetibua source ya tatizo!!! source ni ajira, umaarufu n.k

elimu yetu ingeweka kipaumbele kujiajiri na kutoa elimu ya kumkomboa mwafrika hawa usingewaona, HATA LEO HII UENDE USA, EUROPE useme mtu ana foji PhD!!! no one will take care, because scientists and resreachers are busy doing their core activities!! nchi kama Canada ukiwa na masters someone will ask you WHAT FOR?? we need some serious people up there
 

Naomba tufahamishane ni nini hasa kinachomsukuma mtu atafute elimu yenye cheti feki? labda tujue vyanzo?
 
Ni mtazamo wangu kama hawa mafisadi wa elimu kama wataachiwa nchi yetu haitafika popote zaidi ya kudidimia zaidi ya hata ilipo sasa.​
Ndo maana tunaona mikataba mibovu karibu kila sekita kumbe mikataba mingine sio kosa lao bali ni ukosaji wa elimu husika katika kuongoza sekta hizo nyeti.​
Nadhani wakati umefika kwa wizara husika kuchukua hatua kali na kufatilia hili suala ,mimi sitakaa kimya kamye mpaka tujue mwisho wake.​
Wanatudanganya wamesoma, wanachukua rasilimali zetu zote na kujitajirisha bado tunaendelea kuwapa madaraka, jamani wataanzania tunamatatizo gani? Ama kweli sisi ni vichwa vya wenda wazimu.​
Lazima ifikie kipindi tuseme basi sasa maana wanatunyonya kila kitu, tungefarijika sana kama wangekuwa wanajali hapa wananchi walio masikini lakini hakuna chochote.​
Hili pia linanipa picha ya jinsi viongozi wengi wazee wamefanya kazi na Baba wa Taifa lakn hadi leo bado wanataka madaraka, kwa nini msituachie sisi vijana ? mnataka madaraka ya nini zaidi na umri wote huo ?au ni sababu mnajua leo vijana wengi wamekuwa na uelewa mkubwa na hawakubali kudanganywa tena?​
Hata kama mtatukwepa kumbukeni kuwa Vijana wa kale sio kama wa zamani, na si mda mrefu tunakuja maana ninyi ni dhahiri kabisa umri unawakimbia kwa sasa.​
​
Wahenga walisema elimu ni chanzo cha maarifa, on contrary to that also if the Education will be used inappropriately will be the source of disaster in particular society such as corruption, underdevelopment, lack of sustainability and better health services, decline in education system and an increase in the government dependence from donor contries e.t.c​
Kama ni mwanasayansi utakumbuka some of the great scientist walipokuwa wanafanya utafiti wao na wanapokosa uhakika zaidi walikaa kimya kabisa mpaka wanapopata more convincing power ndo wanapublish ..mfano Charles Darwin on the EVOLUTION OF Man, na wengine hata waliuliwa kisa tu ni kukosa pointi za uhakika mfano mzuri ni a Galilei Galileo na Kikule aliyevumbua Benzene ....NOTHING COULD HAVE BEEN PASSED WITHOUT TOIL ...je hapa tunajifunza nini???​
Inaonyesha wazi kama kila mtu angeachwa tu afanye anavyotaka leo tusingekuwa na mabadiliko makubwa ya kisayansi kama tulionayo kwa sababu hata theory za uongo zingepitishwa na sisi ndo tungekuwa waathirika wa kila kitu.​
Kama kila kitu mfano ujenzi na electronics vinatumia theory ..je hivyo vitu tungekuwa navyo leo.Tatizo la sisi (samahani ila sio wote)watu weusi tunahali ya kutojali next generation,tunapenda ubinafsi ndo maana utaona Kiongozi mkubwa hajali kesho kutakuwa na nini bali yeye akishajaza tumbo lake leo yatosha.​
For me I consider this to be the great disease and if Diagnosis will not be made early it will soon turns to Chronic and everything will be too late to amend.​
 
Ndio maana tunasema wabunge walio wengi wa ccm ni mambumbu.........yaani hawajui lolote zaidi ya kupiga makofi kwakila liongelewalo na nwanaccm.........
 
Mbona phd (pure head danage) ya kikwete hujaisema aliyosomea udom?
 
Naomba tufahamishane ni nini hasa kinachomsukuma mtu atafute elimu yenye cheti feki? labda tujue vyanzo?

That is my point tukipata source then our discussion will be more valuable than just throwing vague and vains words to these people. This matter is similar to ufisadi's songs that we have been singing , dancing and hearing for five years now. No actions, no one is in jail....but talks.... it is proved that we like talkings just talkings and we let evenings stop us for sometimes and mornings start us ferociously thats how we are. We dont want to thing globally and just hit the point and propose solutions we tend to meander like Nile river and we forget easily like hungry flies.
 
Tangu lini UDSM imekuwa inatoa-accreditation? Ahh ....... ????!!!!!

Misinterpretation, nimesema Chuo walikopata hiyo PhD lazima kiwe accredited na ile nchi aliyeenda kusomea, eg, USA vyuo vingi havina Accredition, maana vipo vipo tu kibiashara, below standards na havijulikani, na ndio wengi hapa wamepata hizi Fake PhD, umeelewa?
 
Lol! Ndio maana hatusongi mbele maana wana mawazo mgando na hawana ubunifu.
Wanashindwa hata kuendeleza sector ya elimu maana wenyewe vilaza watupu.
 
Naomba tufahamishane ni nini hasa kinachomsukuma mtu atafute elimu yenye cheti feki? labda tujue vyanzo?

nafikiri wanajihami na ulimwengu wa sasa.
Ulimwengu wa wasomi ukiwa na masters ndio angalau unaonekana unafaa.
Wanataka waonekane wasomi na waendelee kushika madaraka.
Hawa watu mbona wana sifa za kijinga hivi!!
 
hizo kila mtu anazijua kuwa it is more political motivation than anything else.

Mbona umemsahau DR. AISHA KIGODA ambaye ni just a medical assistant, alikuwa RMA for so long...eti nae "DR"
Kulitakiwa kuundwe accreditation authorities kama ilivyo USA
 
Jiji la Dar lina Meya mwenye fake Phd!
What a big joke
 
We Mmakonde, andika kwa paragraph, unatathmini usomi wa wengine wakati we mwenyewe unaandika kama illiterate
 
 
hii post nilishawahi kuiona katika blogs kadhaa mwaka jana....tupeni ushaidi sio longo longo....haya mambo ya flani kasema hivi ...au flani hana kumbukumbu kasoma na flani ni umbea tu...... tupeni facts sio umbea...fanya utafiti katika hivyo vyuo......hii ni Jamii forum tulio staarabika wajameni, mnyonge mnyongeni ila haki mpeni au siyo?PEACE
 
Hata mimi nilikuwa najiuliza, maana kuna jamaa mmoja alisha wahi toa orodha. Na wale waliokuwa kwenye orodha wakatishia kwenda mahakamani. Sasa tangu hapo sija sikia tena nini kilifuata.

Patamu hapo, hasa kama huna proof!
 
Hata mimi nilikuwa najiuliza, maana kuna jamaa mmoja alisha wahi toa orodha. Na wale waliokuwa kwenye orodha wakatishia kwenda mahakamani. Sasa tangu hapo sija sikia tena nini kilifuata.



Lakini Mahakama siyo polisi, maana polisi wanakamata na kumuweka ndani mtuhumiwa ili kwa kile wanachokiita kusaidia polisi. Mahakama inaangalia facts, other things being constant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…