Hili jimbo hakuna kitu mbunge kilasiku yupo anahamasisha maendeleo kwenye majimbo mengine, sidhan kama Mh Simbachawene jimboni kwake kupo kama kisarawe
1. Hospital ya kisarawe na masaki watu wanakufa kilasiku hakuna dawa hakuna vipimo ninaushuhuda ndugu zangu sio chini ya watatu wamekufa kwa huduma mbovu kabisa.
2. Barabara ndo msiba nadhan kuna ufisadi mkubwa sana .... barabara inajengwa kilomita tatu mwaka mzima kama sio uhuni ni nini?.
3. Maji ndo sio jambo la kuzungumza
4. Halmashauri ya bomani kazi kubwa wanayofanya na kuanzisha miradi tu ya kuuza viwanja na mashamba.
5. Elimu pia tukonyuma nashangaa tumewazidi vp Lindi.
Ni aibu kwa naibu waziri wa TAMISEMI kuwa na halmashauri maskini kuliko zote.
CUF ndio chama kinachoweza kuchukua jimbo waweke mgombea makini ila kwa hali ilivyo hata CHADEMA wananafasi kubwa. KARIBUNI
Tukutane 2020