TRA hawezi kumjua kila anayekwepa kulipa kodi.
Ni jukumu letu Watz kuwaumbua watu hawa kama alivyofanya Nape.
Sasa TRA wamejjua na watachukua hatua.[/QUOTE]
TRA wao ndio wanasababisha watu wakwepe kulipa kodi nahata mimi ningekuwa na uwezo huo basi mshahara wangu usingekatwa kodi, kwani sijui kodi yangu inatumika vipi, zaidi ya kuwanufaisha watu na familia zao,