Sibhonike
Senior Member
- Apr 10, 2011
- 156
- 16
Mmiliki wa shule hiyo ana roho mbaya kuliko shetani, aliwahi kukata bomba la maji safi la shule ya jirani na yake akaunganisha bomba la maji machafu so wanafunzi wa shule jirani na kwake wakawa wanatumia maji machafu bila kujua, madogo waliharisha sana mpaka kuja kujua chanzo ilikuwa balaa.
HUU NI UUAJI KWAKWELI.
Hii Gvt yetu bana.