Jeshi la Polisi limechafuka kwakipindi kirefu sana sasa. Kuanzia kipindi cha Mahita. Badala ya kulisafisha wao wanahamishwa vituo tu. Kumbuka kamanda Chico wa mkoa wa Kilimanjaro alivyokuwa anashirikiana na majambazi kuiba magari, sijui kama yale mabasi yake ya Chico bado yapo au wamebadilisha majina.
Baada ya scandle alihamishiwa DSM, nafikiri kwa sasa yuko usalama wa taifa. Huyu Msangi katika hiyo barua amejibu kwa kebehi; inaonyesha kuna wakubwa wanamlinda ndio maana ana kiburi. Inawezekana hizo mali za wizi wanakula na wakubwa zao.
Simuamini kabisa Mwema na wenzi. Infact jeshi zima la polisi limeoza- hamna wakumuamini tena. Ingawaje wanalipwa mshahara/wana maslahi duni ya kazi; lakini wana-benefit kwenye huu uharamia wanaoufanya ndio maana hawaoni sababu yakudai mishahara/mazingira mazuri ya kazi.
Kuishi kwao nyumba duni ni kiini macho tu, hawa watu (hasa wakubwa wao) wana-illegal sources za income nyingi tu.