Uozo mtupu hospital ya rugambwa.

Uozo mtupu hospital ya rugambwa.

mkorofi

Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
13
Reaction score
3
Hospital ya Rugambwa ipo ktk mkoa wa Dar es salaam, kata ya Ukonga, kitongoji cha mwembe madafu. Hospitali inayomilikiwa na kanisa katoliki jimbo kuu la Dar es salaam. Pamoja na kuboreshwa kwa majengo mazuri ila kwa upande wa huduma ni mbaya.
Mosi; Wafanyakazi mpaka leo hii hawajalipwa mshahara wa kuanzia november mwaka jana. Licha ya kutibia idadi kubwa ya wagonjwa kwa siku. Kwa wastani wa wagonjwa 250 kwa OP, wagonjwa 80 kwa Clinic na 5 kwa wazazi. Jumla ya wagonjwa 300 kwa siku au 250. Kila mgonjwa kwa gharama nyepes akatoa sh 5000/= unapata sh 1250,000/= kwa siku. Wafanyakazi wote kwa ujumla hawazid 70 yaan pamoja na wafagizi.
Pili; Huduma hailingan na gharama inayotewa. Kumuona daktar wa kawaida ni sh 5000 toka sh 2500. Kwa upande wa clinic kwa mjamzito anayeanza n sh 20,000 toka sh 16000 tena bila dawa. Kila kitu juu.
Tatu; Matumizi mabaya ya vitu. Chama cha utoto dekania ya ukonga mwaka jana vilitoa sabuni, hela, mafuta na n.k kama pole kwa wagonjwa. Baya zaidi hakuna mgonjwa aliyepata hizo pesa wala mafuta zimeishia mikonon mwa masista. Walipoulizwa na mtoa habari wangu masista bila kuwa na hofu ya Mungu wakadai wamelipia umeme. Bila hizo hela ambazo hesabu kamili hajulikan wangelipia nn huo umeme?! Magari yanajazwa mafuta kwa hela ya hospitali ila yanaenda kubeba vyakula vya kuku.
Ushauri wangu askofu mkuu wa jimbo afanye mabadiliko ya utawala wa hawa masista haraka.
 
bila shaka wewe ni mfanyakazi wa hospitali hiyo. mfuate pengo au msaidizi wake upeleke malalamiko yako.
 
Back
Top Bottom