uongozi wa nchi 2015

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
5,565
836
Itakua vipi uongozi wa nchi yetu mwaka 2015 ingekua na muonekano huu

Rais:Edward Ngoyaye Lowassa

Waziri Mkuu: "Rostam" "Aziz"

Waziri wa Fedha: Andrew Chenge-yeye ana vijisenti hawezi kutuibia

Waziri wa Mambo ya Ndani: Yusuf Manji

Waziri wa Mambo ya Nje: Akram Aziz

Waziri wa Habari: Yusuf Makamba

Waziri wa Afya: Amatus Liyumba

Waziri wa Ulinzi na JWTZ: Zombe

Waziri wa ujenzi na Miundombinu: Anna Mkapa

Gavana wa benki kuu: Peter Noni

.......others appointments pending. Any suggestions?
 
Last edited:
Mwanafalsafa,

If, like father is like son, you know where I stand.
 
Ha haaa! Itakuwa serikali ya nyasi. Lakini kuna usemi wa kiswahili kuwa "Mchawi Mpe Mtoto Alee". Huenda hao jamaa wakipewa kuendesha nchi wakabadilika kabisa na wakaendesha vizuri mpaka mkashangaa.
 
Ha haaa! Itakuwa serikali ya nyasi. Lakini kuna usemi wa kiswahili kuwa "Mchawi Mpe Mtoto Alee". Huenda hao jamaa wakipewa kuendesha nchi wakabadilika kabisa na wakaendesha vizuri mpaka mkashangaa.

Watu kama wakina lowassa si walisha pewa nchi mkuu?
 
Mnajaza database ya JF bure!!! acheni kuleta upupu humu!

Siyo upupu mkuu. Ukweli ni kwamba mafisadi wametu tawala na tusipo angalia hawa watu tunaosema kila siku ndiyo wana maliza nchi yetu ndiyo hao hao watakao kuja kuongoza nchi yetu kwenye nafasi za juu zaidi. Wewe fikiria mtu kama Lowassa na mambo yake yote lakini leo hii bado anaongelewa katika uraisi.
 
Baraza hilo linaweza kuwa zuri kuliko hili la sasa. Kwani la sasa lina ubora gani?
 
Back
Top Bottom