Uongozi wa mfuko wa LAPF toeni namba ya wateja kuhakiki michango yao

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Ninauomba uongozi wa mfuko wa LAPF kutoa namba itakayotumika kujua na kuhakiki michango kwa wanachama wake.Namba hiyo itawasaidia wanachama hata kumbana mwajiri kama hawasilishi michango ya mtumishi.

Pia miaka ya nyuma LAPF walikuwa wanawatumia taarifa wanachama wao kupitia fomu maalumu na kama itafaa urudishwe ule utaratibu ili mwisho wa utumishi mwanachama awe anajua michango yake na pia kumbana mwajiri kama hajawasilisha.

Wadau changieni.
 
Back
Top Bottom