NUCLEAR BOMB
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 342
- 323
Kwa hiyo akasali chini ya mti? Na kule Arusha alikoenda lema nako unasemaje?
Kanisa linapokea kila mtu halibagui wewe ndo unabagua kwendezi zenu huko. Unataka kupeleka kanisani upuuzi wa kwenye mitandao .
Ukikerwa hamaaaa makanisa yako mengi.
Nenda kwenye makanisa ya mipasho huko iache KKKT.