Uongozi wa CHADEMA Taifa huu hapa

Uongozi wa CHADEMA Taifa huu hapa

Mtate

Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
58
Reaction score
13
1. Mwenyekiti: FREEMAN MBOWE

2. Makamu Mwenyekiti Bara: Profesa ABDALLAH
SAFARI

3. Makamu Mwenyekiti Zanzibar: SAID ISSA MOHAMED

4. Katibu Mkuu: Dk WILBROD SLAA

5. Naibu Katibu Mkuu Bara: JOHN MNYIKA

6. Naibu Katibu Mkuu Bara: SALUM MWALIM

7. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee: HASHIM JUMA ISSA

8. Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake: HALIMA JAMES
MDEE

9. Makamu Mwenyekiti Baraza la Wanawake Bara
HAWA MWAIFUNGA 0. Makamu Mwenyekiti Baraza la Wanawake

Zanzibar:
HAMIDA ABDALLAH

1. Mwenyekiti wa Baraza la Vijana: PASCHAL KATAMBI
PATROBAS

2. Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana Bara: Patrick
Sosopi Kapura

3. Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana Zanzibar: Zeud
Mvano Abdulahi

4. Baraza Kuu Zanzibar: Janeth Medadi Fusi

5. Baraza Kuu Bara: Janeth J. Mjungu, Restitusa Said
Mjoka, Marietha Cosmas Chenyenge, Suzan Hashim
Kiwanga

6. Wajumbe wa Mkutano Mkuu waCHADEMA Taifa:
Janeth Elibariki Moshi, Edson Joel Mwemaelu, Masule
Samson Masaga, Penina Ernest Nkya, Daniel Ezekiel
Mswelo, Lutgar Chemicha Haule, Elizabeth Joseph
Riziki, Samuel Gibson Shami.

7. Wajumbe wa Mkutano Mkuu

CHADEMA Zanzibar:
Ally
Kassim Ismail, Sued Abdulhimid, Hassan Abdallah
Hamis

8. Wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA Bara:
Pasquina
Ferdinand Lucas, Pamela Simon Maasay, Joseph Loth
Kasambala, Helen Nangusu Dalali.
 
Kila mtu akisemwa sana huwa anasikiliza, tunawashukuru kwa vile wamesikiliza kilio cha wananchi. Ukiwa mwansiasa usitumie nguvu nyingi kubisha jibu hoja za watu kwa matendo yako PERIOD
 
Huo uchagga upo wapi?huo ukaskazini upo wapi?hongera CHADEMA ni chama cha siasa cha kitaifa zaidi.Kazeni mwendo hatuna cha kupoteza isipokuwa umasikini wetu.saa ya ukombozi ni sasa.tuungane watanzania tupate mabadiliko na maendeleo ya kweli.kwa CCM wao maisha bora ni bei za bidhaa kuongezewa kodi eg mafuta ya taa,ikataeni ccm.
 
1. Mwenyekiti: FREEMAN MBOWE

2. Makamu Mwenyekiti Bara: Profesa ABDALLAH
SAFARI

3. Makamu Mwenyekiti Zanzibar: SAID ISSA MOHAMED

4. Katibu Mkuu: Dk WILBROD SLAA

5. Naibu Katibu Mkuu Bara: JOHN MNYIKA

6. Naibu Katibu Mkuu Bara: SALUM MWALIM

7. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee: HASHIM JUMA ISSA

8. Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake: HALIMA JAMES
MDEE

9. Makamu Mwenyekiti Baraza la Wanawake Bara
HAWA MWAIFUNGA 0. Makamu Mwenyekiti Baraza la Wanawake

Zanzibar:
HAMIDA ABDALLAH

1. Mwenyekiti wa Baraza la Vijana: PASCHAL KATAMBI
PATROBAS

2. Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana Bara: Patrick
Sosopi Kapura

3. Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana Zanzibar: Zeud
Mvano Abdulahi

4. Baraza Kuu Zanzibar: Janeth Medadi Fusi

5. Baraza Kuu Bara: Janeth J. Mjungu, Restitusa Said
Mjoka, Marietha Cosmas Chenyenge, Suzan Hashim
Kiwanga

6. Wajumbe wa Mkutano Mkuu waCHADEMA Taifa:
Janeth Elibariki Moshi, Edson Joel Mwemaelu, Masule
Samson Masaga, Penina Ernest Nkya, Daniel Ezekiel
Mswelo, Lutgar Chemicha Haule, Elizabeth Joseph
Riziki, Samuel Gibson Shami.

7. Wajumbe wa Mkutano Mkuu

CHADEMA Zanzibar:
Ally
Kassim Ismail, Sued Abdulhimid, Hassan Abdallah
Hamis

8. Wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA Bara:
Pasquina
Ferdinand Lucas, Pamela Simon Maasay, Joseph Loth
Kasambala, Helen Nangusu Dalali.

Asante kamanda
 
Huo uchagga upo wapi?huo ukaskazini upo wapi?hongera CHADEMA ni chama cha siasa cha kitaifa zaidi.Kazeni mwendo hatuna cha kupoteza isipokuwa umasikini wetu.saa ya ukombozi ni sasa.tuungane watanzania tupate mabadiliko na maendeleo ya kweli.kwa CCM wao maisha bora ni bei za bidhaa kuongezewa kodi eg mafuta ya taa,ikataeni ccm.

Anaye faidi maisha bora ya ccm ni mwekezaji tu
 
uongozi wa juu CCM
Mwenyekiti Jakaya Kikwete
Katibu Abdulrahman Kinana
Naibu Katibu mkuu Rajabu Luhavi
Katibu wa nec uenezi Nape nauye
Katibu nec fedha Zakia Meghi
Katibu Nec mambo ya nje Asha Migiro
Katibu nec Seif Khatibu
Makamu mwenyekiti Zanzibar Vuai Ally Vuai
mwenyekiti cwt Sophia Simba
mwenyekiti uvccm Sadifa Juma
mwenyekiti wazazi Abdallah Bulembo
makamu uvccm Mboni Mhita
 
Uchaga na udini katika ubora wake

na mwaka huu lazima tuimalize moja kwa moja hii biashara yenu ya udini na ukabila chagadema

Vipi hii mkuu

uongozi wa juu CCM
Mwenyekiti Jakaya Kikwete
Katibu Abdulrahman Kinana
Naibu Katibu mkuu Rajabu Luhavi
Katibu wa nec uenezi Nape nauye
Katibu nec fedha Zakia Meghi
Katibu Nec mambo ya nje Asha Migiro
Katibu nec Seif Khatibu
Makamu mwenyekiti Zanzibar Vuai Ally Vuai
 
Uchaga na udini katika ubora wake

na mwaka huu lazima tuimalize moja kwa moja hii biashara yenu ya udini na ukabila chagadema

Mtu mdini, anawaza kidini, ananena kidini, na anatenda kidini. Wewe ni mmojawao.

Vv
 
Back
Top Bottom