Uongozi wa CHADEMA Taifa huu hapa

Uongozi wa CHADEMA Taifa huu hapa

1. Mwenyekiti: FREEMAN MBOWE

2. Makamu Mwenyekiti Bara: Profesa ABDALLAH
SAFARI

3. Makamu Mwenyekiti Zanzibar: SAID ISSA MOHAMED

4. Katibu Mkuu: Dk WILBROD SLAA

5. Naibu Katibu Mkuu Bara: JOHN MNYIKA

6. Naibu Katibu Mkuu Bara: SALUM MWALIM

7. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee: HASHIM JUMA ISSA

8. Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake: HALIMA JAMES
MDEE

9. Makamu Mwenyekiti Baraza la Wanawake Bara
HAWA MWAIFUNGA 0. Makamu Mwenyekiti Baraza la Wanawake

Zanzibar:
HAMIDA ABDALLAH

1. Mwenyekiti wa Baraza la Vijana: PASCHAL KATAMBI
PATROBAS

2. Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana Bara: Patrick
Sosopi Kapura

3. Makamu Mwenyekiti Baraza la Vijana Zanzibar: Zeud
Mvano Abdulahi

4. Baraza Kuu Zanzibar: Janeth Medadi Fusi

5. Baraza Kuu Bara: Janeth J. Mjungu, Restitusa Said
Mjoka, Marietha Cosmas Chenyenge, Suzan Hashim
Kiwanga

6. Wajumbe wa Mkutano Mkuu waCHADEMA Taifa:
Janeth Elibariki Moshi, Edson Joel Mwemaelu, Masule
Samson Masaga, Penina Ernest Nkya, Daniel Ezekiel
Mswelo, Lutgar Chemicha Haule, Elizabeth Joseph
Riziki, Samuel Gibson Shami.

7. Wajumbe wa Mkutano Mkuu

CHADEMA Zanzibar:
Ally
Kassim Ismail, Sued Abdulhimid, Hassan Abdallah
Hamis

8. Wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA Bara:
Pasquina
Ferdinand Lucas, Pamela Simon Maasay, Joseph Loth
Kasambala, Helen Nangusu Dalali.
Kawadanganye watoto wadogo wapo wapi wakurugenzi watano wa Chadema kina Lwakatare na wenzake ambayo wote Wakirsto.

Unatuwekea majina ya Wazanzibar Chadema na Zanzibar wapi na wapi.

Kamanda ukitaka kujua kama Chadema ni chama cha kidini na kikanda angalia orodha ya washindi na wagombea ubunge wate Wakirsto bora ungekaa kimya tukianza kiwachambua utaishia kusema sisi wadini.

1. Mkurugenzi wa Oganaizesheni Mhe. Singo Kigaila Benson.(Mkristo + Mchaga)2. Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano ya ndani Mhe. John Mnyika (Mb). .(Mkristo + Mchaga)3. Mkurugenzi wa Fedha na uwekezaji Mhe. Anthony Komu. .(Mkristo + Mchaga)4. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashuri Mhe. John Mrema. .(Mkristo + Mchaga)5. Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Mhe. Wilfred Lwakatale.
 
kawadanganye watoto wadogo wapo wapi wakurugenzi watano wa chadema kina lwakatare na wenzake ambayo wote wakirsto.

Unatuwekea majina ya wazanzibar chadema na zanzibar wapi na wapi.

Kamanda ukitaka kujua kama chadema ni chama cha kidini na kikanda angalia orodha ya washindi na wagombea ubunge wate wakirsto bora ungekaa kimya tukianza kiwachambua utaishia kusema sisi wadini.
hivi wewe puuzi huwezi changia bila udini
 
uongozi wa juu CCM
Mwenyekiti Jakaya Kikwete
Katibu Abdulrahman Kinana
Naibu Katibu mkuu Rajabu Luhavi
Katibu wa nec uenezi Nape nauye
Katibu nec fedha Zakia Meghi
Katibu Nec mambo ya nje Asha Migiro
Katibu nec Seif Khatibu
Makamu mwenyekiti Zanzibar Vuai Ally Vuai
mwenyekiti cwt Sophia Simba
mwenyekiti uvccm Sadifa Juma
mwenyekiti wazazi Abdallah Bulembo
makamu uvccm Mboni Mhita

Nitafutie Mkristo hapo.

Duuuuuh naona Nape na Asha tu
 
hivi wewe puuzi huwezi changia bila udini
Mmeficha haya majina kwa makusudi mnahofia nini sasa.

1. Mkurugenzi wa Oganaizesheni Mhe. Singo Kigaila Benson.(Mkristo + Mchaga)2. Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano ya ndani Mhe. John Mnyika (Mb). .(Mkristo + Mchaga)3. Mkurugenzi wa Fedha na uwekezaji Mhe. Anthony Komu. .(Mkristo + Mchaga)4. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashuri Mhe. John Mrema. .(Mkristo + Mchaga)5. Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Mhe. Wilfred Lwakatale.
 
Mmeficha haya majina kwa makusudi mnahofia nini sasa.

1. Mkurugenzi wa Oganaizesheni Mhe. Singo Kigaila Benson.(Mkristo + Mchaga)2. Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano ya ndani Mhe. John Mnyika (Mb). .(Mkristo + Mchaga)3. Mkurugenzi wa Fedha na uwekezaji Mhe. Anthony Komu. .(Mkristo + Mchaga)4. Mkurugenzi wa Bunge na Halmashuri Mhe. John Mrema. .(Mkristo + Mchaga)5. Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Mhe. Wilfred Lwakatale.

Mara nyingine huwa najiuliza kama Ritz anazo akili timamu na ni Mtanzania au vipi. Hivi Kigaila na Mnyika unaweza kabisa kwa ujasiri kudai kuwa ni Wachaga!

Naamini Mtanzania halisi aliyeishi Tanzania hawezi kushindwa kujua majina yenye asili ya Wachaga. BTW huo Ukristo unaodai wanao hauwezi kuwa kamili kama hujataja madhehebu yao ili hoja yako iwe na mashiko.

Vv
 
Wanaodai chadema ni chama cha wachaga kumbe hawana hoja.wameumbuka.na wataendelea kuumbuka.

Si hivyo na hata wabunge wawili waliokabidhiwa kadi zao leo, hakuna Mchaga, ukifuatilia kwa karibu watangaza nia wengi wa ubunge na udiwani makabila mchanganyiko. Safi sana CDM
 
Bado mazezeta duniani wanaowaza kidini na kikabila.ni ajabu.ni tatizo la ubongo au tuseme akili ya panzi.
 
Back
Top Bottom