ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Wanaodai chadema ni chama cha wachaga kumbe hawana hoja.wameumbuka.na wataendelea kuumbuka.
Washindwe na walegee
Wanaodai chadema ni chama cha wachaga kumbe hawana hoja.wameumbuka.na wataendelea kuumbuka.
Uchaga na udini katika ubora wake
na mwaka huu lazima tuimalize moja kwa moja hii biashara yenu ya udini na ukabila chagadema
Vipi hii mkuu
uongozi wa juu CCM
Mwenyekiti Jakaya Kikwete
Katibu Abdulrahman Kinana
Naibu Katibu mkuu Rajabu Luhavi
Katibu wa nec uenezi Nape nauye
Katibu nec fedha Zakia Meghi
Katibu Nec mambo ya nje Asha Migiro
Katibu nec Seif Khatibu
Makamu mwenyekiti Zanzibar Vuai Ally Vuai
hao wote hawana maamuzi,wenye maamuzi ni wachaga kina mtei. wengine ni mshahara mkubwa tu ili wakae kimya.
Huo uchagga upo wapi?huo ukaskazini upo wapi?hongera CHADEMA ni chama cha siasa cha kitaifa zaidi.Kazeni mwendo hatuna cha kupoteza isipokuwa umasikini wetu.saa ya ukombozi ni sasa.tuungane watanzania tupate mabadiliko na maendeleo ya kweli.kwa CCM wao maisha bora ni bei za bidhaa kuongezewa kodi eg mafuta ya taa,ikataeni ccm.
uongozi wa juu CCM
Mwenyekiti Jakaya Kikwete
Katibu Abdulrahman Kinana
Naibu Katibu mkuu Rajabu Luhavi
Katibu wa nec uenezi Nape nauye
Katibu nec fedha Zakia Meghi
Katibu Nec mambo ya nje Asha Migiro
Katibu nec Seif Khatibu
Makamu mwenyekiti Zanzibar Vuai Ally Vuai
mwenyekiti cwt Sophia Simba
mwenyekiti uvccm Sadifa Juma
mwenyekiti wazazi Abdallah Bulembo
makamu uvccm Mboni Mhita
Tatizo lenu mkiambiwa "CHADEMA ni chama cha Wachaga" mnaanza kuhesabu idadi ya Wachaga kwenye uongozi wa chama. Mnashindwa kutofautisha kati ya watu na mfumo. Kwa mfano, ukisikia kwamba CCM inaendesha serikali iliyokumbatia mfumo kristo, Ina maana hata viongozi wa CCM wakiwa Waislam, bado maslahi ya mfumo kristo yataendelea kuwa na nafasi zaidi kuliko maslahi ya makundi mengine (sitaki kuingia ndani zaidi, kwani mifano ipo wazi). Sasa kabla haujanishambulia kwamba mimi ni "mdini" au "mkabila", lazima uelewe kwamba falsafa ya "mfumo kristo" ina shabihiana na "mfumo Chaga" wa CHADEMA. Kwasasa, mfumo huo unasimamiwa na Mbowe na mzee mwenyewe Mtei. Lakini, kadri muda unakavyokwenda na chama kuendelea kukua, mfumo utakuwa umeshaota mizizi na kukomaa kiasi kwamba hautohitaji tena kusimamiwa na Wachaga wenyewe, bali vibaraka wao tu watatosha.
uongozi wa juu CCM
Mwenyekiti Jakaya Kikwete
Katibu Abdulrahman Kinana
Naibu Katibu mkuu Rajabu Luhavi
Katibu wa nec uenezi Nape nauye
Katibu nec fedha Zakia Meghi
Katibu Nec mambo ya nje Asha Migiro
Katibu nec Seif Khatibu
Makamu mwenyekiti Zanzibar Vuai Ally Vuai
mwenyekiti cwt Sophia Simba
mwenyekiti uvccm Sadifa Juma
mwenyekiti wazazi Abdallah Bulembo
makamu uvccm Mboni Mhita
ebwaneeeeee hii ni hatare kwa afyaVipi hii mkuu
uongozi wa juu CCM
Mwenyekiti Jakaya Kikwete
Katibu Abdulrahman Kinana
Naibu Katibu mkuu Rajabu Luhavi
Katibu wa nec uenezi Nape nauye
Katibu nec fedha Zakia Meghi
Katibu Nec mambo ya nje Asha Migiro
Katibu nec Seif Khatibu
Makamu mwenyekiti Zanzibar Vuai Ally Vuai
uongozi wa juu CCM
Mwenyekiti Jakaya Kikwete
Katibu Abdulrahman Kinana
Naibu Katibu mkuu Rajabu Luhavi
Katibu wa nec uenezi Nape nauye
Katibu nec fedha Zakia Meghi
Katibu Nec mambo ya nje Asha Migiro
Katibu nec Seif Khatibu
Makamu mwenyekiti Zanzibar Vuai Ally Vuai
mwenyekiti cwt Sophia Simba
mwenyekiti uvccm Sadifa Juma
mwenyekiti wazazi Abdallah Bulembo
makamu uvccm Mboni Mhita
hahhahh duh mkristu nape tu ebwanee alaf mfumo kristu kweli elimu ya mjinga ni majungu
hao wote hawana maamuzi,wenye maamuzi ni wachaga kina mtei. wengine ni mshahara mkubwa tu ili wakae kimya.
Mkuu unataka kusemaje Hapa?uongozi wa juu CCM
Mwenyekiti Jakaya Kikwete
Katibu Abdulrahman Kinana
Naibu Katibu mkuu Rajabu Luhavi
Katibu wa nec uenezi Nape nauye
Katibu nec fedha Zakia Meghi
Katibu Nec mambo ya nje Asha Migiro
Katibu nec Seif Khatibu
Makamu mwenyekiti Zanzibar Vuai Ally Vuai
mwenyekiti cwt Sophia Simba
mwenyekiti uvccm Sadifa Juma
mwenyekiti wazazi Abdallah Bulembo
makamu uvccm Mboni Mhita
Khaa!!na hii ndiyo list ya wabunge vitu maalum waliopitaHuo uchagga upo wapi?huo ukaskazini upo wapi?hongera CHADEMA ni chama cha siasa cha kitaifa zaidi.Kazeni mwendo hatuna cha kupoteza isipokuwa umasikini wetu.saa ya ukombozi ni sasa.tuungane watanzania tupate mabadiliko na maendeleo ya kweli.kwa CCM wao maisha bora ni bei za bidhaa kuongezewa kodi eg mafuta ya taa,ikataeni ccm.
Wabunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA ambao majina yao yamepitishwa na mikoa wanayotoka kwenye mabano ni pamoja na Lucy Owenya (Kilimanjaro), Esther Matiko (Mara) Mhonga Luhanywa (Kigoma), Anna Mallac (Katavi), Paulina Gekul (Manyara) na Conchesta Rwalumulaza (Kagera).
Wengine ni Suzan Kiwanga (Morogoro), Grace Kiwelu (Kilimanjaro), Suzan Lyimo (Kilimanjaro), Regia Mtema (Morogoro), Christowaja Mtinda (Singida), Anna Komu (Dar es Salaam), Mwanamrisho Abama (Zanzibar), Joyce Mukya (Arusha), Leticia Mageni Nyerere (Mwanza) na Naomi Kaihula (Dar es Salaam).
Majina mengine ya wateule hao ni Chiku Abwao (Iringa), Rose Kamili (Manyara), Christina Lissu (Singida), Raya Ibrahim Khamis (Zanzibar), Philipa Mturano (Dar es Salaam), Mariam Msabaha (Zanzibar) na Rachel Mashishanga (Dar es Salaam).
hahhahh duh mkristu nape tu ebwanee alaf mfumo kristu kweli elimu ya mjinga ni majungu
Uchaga na udini katika ubora wake
na mwaka huu lazima tuimalize moja kwa moja hii biashara yenu ya udini na ukabila chagadema