Uongozi wa Azam Tv muonyeni msimamizi wa Account zenu za mitandaoni

Status
Not open for further replies.

Levels baby

JF-Expert Member
Sep 26, 2019
831
768
Najua anajua nanyi viongozi wake mnajua hari iliyopo kwa sasa mitandaoni na kinachoendelea ingawa hamna mwenye taarifa rasmi kuhusu hari ya mwenye nchi yake kwa sasa mana maswali ni mengi kama.

1. Kwanini ziara ihairishwe ghafla wakat wananchi huko ikwiriri na kibiti walikuwa wanamngoja mkubwa wa nchi.

2. Kwanini data za DPP ziibiwe juzi

3. Kwanini waziri Mkuchika na sio Makamu wa Rais kuenda kwenye mualiko.

4. Kwanini TBC ghafla wakatishe matangazo ya mkutano wa kuonana kwa mkubwa wa nchi na ma Director wa kampuni mbalimbali.

Sasa nyinyi msimamizi wenu wa account za mitandaoni anaandika hivi ilihali anajua tupo katika wakati gani kama nchi kwa sasa.

TENA ANAWEKA NA HASHTAG YA BREAKING NEWS



Screenshot_2019-10-19-11-07-01.jpg


 
Kuamini kama hii tweet ni ya azam inahitaji kichwa kigumu. Hakuna chombo kinachothubutu kuandika hivyo au mmesahau ile ya BBC 2015
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom