Uongozi unaoacha alama.


Nyaka-One

Nyaka-One

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Messages
2,302
Likes
2,165
Points
280
Nyaka-One

Nyaka-One

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2013
2,302 2,165 280
Uongozi unaoacha ngeu, makovu mwilini na mpasuko katika jamii.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,333
Likes
124,621
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,333 124,621 280
Hilo dude linajifanya kuwa nilipole sana sasa hivi ila muda siyo mrefu litaanza kutafuna watu including jiwe mwenyewe!!
Tuliombee lifanikiwe hata kwa ndumba
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,333
Likes
124,621
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,333 124,621 280
Umenifikirisha... 'Ngeu' ni alama pia... Kovu ni alama pia
 
Nyaka-One

Nyaka-One

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Messages
2,302
Likes
2,165
Points
280
Nyaka-One

Nyaka-One

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2013
2,302 2,165 280
Umenifirisha... 'Ngeu' ni alama pia... Kovu ni alama pia
Ndiyo mkuu. Maana ngeu na kovu zote ni alama. Pia ngeu ni kovu japo kovu si lazima liwe ngeu. Ngeu yenyewe zaidi zaidi ni ya kichwani.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,333
Likes
124,621
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,333 124,621 280
Ndiyo mkuu. Maana ngeu na kovu zote ni alama. Pia ngeu ni kovu japo kovu si lazima liwe ngeu. Ngeu yenyewe zaidi zaidi ni ya kichwani.
Kwenye mapenzi mtu anaweza kuwa na alama mbili kama sio love bite basi ni kidonda cha meno... Zote ni alama moja nzuri moja mbaya.....
 
Louis II

Louis II

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2018
Messages
1,941
Likes
2,418
Points
280
Louis II

Louis II

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2018
1,941 2,418 280
Unapoharibu ili utengeneze sio jambo baya... Ni jambo zuri pia la la kheri... Lakini unaharibu nini ili utengeneze nini.... Walevi ni watu wema sana.... Hawanyimani, hawapunjani... Lakini anapotokea cha POMBE mmoja akasema huyu mupe, yure muruke... Tambua huyu si mmoja kati ya wale wema ni mbaguzi asiyefaa... Ana hulka za kutenganisha badala ya kuunganisha, kubomoa badala ya kujenga.. Huyu ni kenge kwenye msafara wa mamba... Mlevi wa kilevi cha madaraka ya kulevya... Pombe yenye kirevi cha arikohori nyingi sana
Hatununui ambulance badala yake tunanunua maroli ya kubebea maiti zilizokufa.... Ukisikia uchuro ndio huu... Uongozi unaoacha alama
Aisee😂😂😂hapo kwenye Kununua morali badala ambulance pamenikuna.
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
22,191
Likes
20,633
Points
280
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
22,191 20,633 280
Alama inayoachwa sasa ni ya michirizi ya damu... no one will follow these footsteps...Cc: mahondaw
 

Forum statistics

Threads 1,250,078
Members 481,222
Posts 29,720,091