Uongozi ni kuacha alama , DC atembelea kijiwe cha bodaboda na kuongea na wadau

Boda boda sio legally licensed business inayotambulika na serikali. Na mpaka leo kisheria unaweza fungwa jela kwa kutumia boda kama ni means of commuting. Ni sawa kusifia DC anayetembelea wakulima na majembe yao wanaelekea kwenye mashamba ya bangi, hakuna tofauti!
 
kuna huyo anayejaribu kupiga picha na kidogoli cha tekno chenye kamera megapixel moja na nusu
 
Huyo boda aliyekaa chini nani kamruhusu kuangalia amber rutty hivyo? Sukuma ndani huyo, hana adabu..!!:p;)
 
Back
Top Bottom