ndg yng hebu rudia kusoma ulichoandika km we mwenyewe unaelewa.mmh una haraka sana?
Pole mkuu nilikuwa fasta sababu mazingira hayakuniruhusu sana hapa serena kuna ka hafla na tuzo zinatolewa yupo makamu wa rais na waziri wa viwanda na baadhi ya wageni na washiriki mda wa kugawa tuzo ulipo fika wakawa wanaitwa walio shinda sasa walipo itwa ITV ,NIPASHE naTHE GUARDIAN wote hawakuwepo ndio ikabidi apokee mzee mengi mwenyewe lakin waziri akamshauri kama mkewe yupo aje apokee ndio akaenda kuchukua mama mengiHapa kuelewa ni hadi uwe na taarifa tayari.
Acha ujuaji wewe mimi nimeeleza tukio lilivyo kuwa sijatoa huku ya nini wafanywe bali nimehoji kulikoni maana yake wao kama wana utetezi watajitetea wenyewe huko au hata kuuliza nako hadi ubalance? Na utabalance vipi bila kuhoji upande mmoja mmoja?Kwani kuna shida gani kama hawakuwepo, je unajua nini kiliwasibu, ungesubiri kwanza watoe sababu ndiyo uje kuwalaumu,acha kukurupuka, uandishi ni kubalance story