Uongo wa Mathias Chikawe

Uongo wa Mathias Chikawe

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,292
Sielewi inakuaje mtu mzima tena muheshimiwa kuongea uongo wa kiasi kile katika bunge sijui hakumsikiliza Lipumba kupitia media alipokuwa anawarudisha wafuasi wake wasiende katika maandamano au ni ulevi wa madaraka na kujisahau hakika hata 2090 ikifika bado mtakuja kuwajibika tu.
 
Naskitikasana kuona viongoziwa juu kama mawazili wanakuwa waoongo hivi hikichama kimechoka kutawala. Bs tuachieni tz yetu kwasababu tz bila ccm inawezekana..zile files yakuwa tz bila ccm haiwezekani zilisha pitwa nawakati nawaliokuwa wanaamini hizo fikra walisha kufa
 
Uozo ni uozo tu ccm imeoza na watu wake na ukweli unaanza kujitokeza kwamba huwa niwaongo siku zote sasa wwatanzania tumezinduka hatutaki majungu yenu tena kama huwezi kusimama imara kwa kuwa mkweli basi chapa lapa je? Chikawe utagombea ubunge tena?usijaribu utaumbuka baba
 
Sielewi inakuaje mtu mzima tena muheshimiwa kuongea uongo wa kiasi kile katika bunge sijui hakumsikiliza Lipumba kupitia media alipokuwa anawarudisha wafuasi wake wasiende katika maandamano au ni ulevi wa madaraka na kujisahau hakika hata 2090 ikifika bado mtakuja kuwajibika tu.

Usishangae; kwa sababu ili mtu akidhi masharti ya kuwa mwanachama wa CCM ni lazima uwe Muongo, Mtata, fisadi, katili; mla rushwa, jangili na mwizi; hiyo ndiyo imani namba moja; itikadi na utamaduni wa kila mwanachama wa CCM
 
Mambo mengine yanashangaza! hata mimi nilimsikia Profesa akiwasihi wafuasi wake kusitisha maandamano Namshangaa CHIKAWE
 
Back
Top Bottom