hiram
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 266
- 393
ni nchi saba tu ndizo zitakazopeleka timu nne kwenye mashindano ya caf 2020/2021 Mungu akijalia na hata simba ikiingia robo fainali itakuwa imeiongezea nchi alama 2x5=10 ambazo bado hazitoshi kuipeleka nchi kwenye timu saba zitakazopeleka timu nne kwenye mashindano ya CAF 2020/2021
ikumbukwe Tanzania ina alama 8 katika 5 year Caf Ranking zilizotokana na alama 3 za Yanga kuingia makundi mara mbili na alama 5 za Simba kuingiia makuundi klabu bingwa
soma zaidi kwenye linki hii CAF 5-Year Ranking - Wikipedia
Manara anatuongopea ili tuishangilie Simba