UONGO: SIMBA ikiiingia robo fainali HATUPELEKI TIMU NNE!

hiram

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
266
393
ni nchi saba tu ndizo zitakazopeleka timu nne kwenye mashindano ya caf 2020/2021 Mungu akijalia na hata simba ikiingia robo fainali itakuwa imeiongezea nchi alama 2x5=10 ambazo bado hazitoshi kuipeleka nchi kwenye timu saba zitakazopeleka timu nne kwenye mashindano ya CAF 2020/2021
ikumbukwe Tanzania ina alama 8 katika 5 year Caf Ranking zilizotokana na alama 3 za Yanga kuingia makundi mara mbili na alama 5 za Simba kuingiia makuundi klabu bingwa
soma zaidi kwenye linki hii CAF 5-Year Ranking - Wikipedia
Manara anatuongopea ili tuishangilie Simba
 
Yanga huwa inshiriki club bingwa kwa kuchukua ubingwa Wa TPL sio kupitia mgongo Wa mikia fc

ni nchi saba tu ndizo zitakazopeleka timu nne kwenye mashindano ya caf 2020/2021 Mungu akijalia na hata simba ikiingia robo fainali itakuwa imeiongezea nchi alama 2x5=10 ambazo bado hazitoshi kuipeleka nchi kwenye timu saba zitakazopeleka timu nne kwenye mashindano ya CAF 2020/2021
ikumbukwe Tanzania ina alama 8 katika 5 year Caf Ranking zilizotokana na alama 3 za Yanga kuingia makundi mara mbili na alama 5 za Simba kuingiia makuundi klabu bingwa
soma zaidi kwenye linki hii CAF 5-Year Ranking - Wikipedia
Manara anatuongopea ili tuishangilie Simba
Kati ya wewe au Manara nani muongo?
Lete ushahidi wa Manara kusema simba ikiingia robo fainali itaingiza timu NNE.
Ila Mimi ni kwamba simba ikifika nusu fainali ndo itafikisha point 12 hapo inaweza kuingiza timu tatu au NNE.
Na ili simba ifike nusu lazima ifike robo fainali.
Labda kama ukuelewa vzr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachomsingizia manara hajakisema, Jana kafanya interview efm tulimsikiliza vzr so wewe sema tu shida yako nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndala mnawashwa nn kakateni tiketi muje kutushangilia sisi tukienda nusu na nyie ndio nafasi yenu ya kushiriki mbona hamuwi wazalendo...
 
Attachments

  • Screenshot_2019-03-16-15-13-38.png
    Screenshot_2019-03-16-15-13-38.png
    62 KB · Views: 22
Kati ya wewe au Manara nani muongo?
Lete ushahidi wa Manara kusema simba ikiingia robo fainali itaingiza timu NNE.
Ila Mimi ni kwamba simba ikifika nusu fainali ndo itafikisha point 12 hapo inaweza kuingiza timu tatu au NNE.
Na ili simba ifike nusu lazima ifike robo fainali.
Labda kama ukuelewa vzr.

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba Leo itaingia boro fainali na si robo fanali trust me.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni nchi saba tu ndizo zitakazopeleka timu nne kwenye mashindano ya caf 2020/2021 Mungu akijalia na hata simba ikiingia robo fainali itakuwa imeiongezea nchi alama 2x5=10 ambazo bado hazitoshi kuipeleka nchi kwenye timu saba zitakazopeleka timu nne kwenye mashindano ya CAF 2020/2021
ikumbukwe Tanzania ina alama 8 katika 5 year Caf Ranking zilizotokana na alama 3 za Yanga kuingia makundi mara mbili na alama 5 za Simba kuingiia makuundi klabu bingwa
soma zaidi kwenye linki hii CAF 5-Year Ranking - Wikipedia
Manara anatuongopea ili tuishangilie Simba
Hana uwezo wa kuwaongopea Yanga. Fix zake ni kwa mikia wenye Techno ya elfu 70
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom