uongo nooma...!!!

driller

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
1,116
246
mademu wawili walikua wanabishana bwenini... Ghafla mwalimu akaingia na kuwauliza..." mnabishana nini..!!?” wakamwambia tumeokota sh.10000.. Na tunataka aichukue mtu ambae atakua keshawahi kudanganya uongo mkubwa sana kati yetu.... Mwalimu kwa dharau akawaangalia na kuwaambia "shame on you.... Mimi nilivyokua umri wenu sikujua hata nini maana ya uongo...!!!!” wale waschana wakampa yule mwalimu ile 10000.... Hahahahaaaaa
 
Back
Top Bottom